Leo nilikuwa nasikiliza KBC asubuhi nikasikia wanaitaja nchi moja kati ya zile za Scandinavia aidha Denmark au Norway siikumbuki inafuata hatua kama za Tanzania. Hawakuwa na lockdown wala nini, ila maisha yaliendelea. Sasa mnakuja na hoja kana kwamba Tanzania pekee ndio imefuata utaratibu huo. Acheni siasa maji taka tunataka nchi iwe na wanasiasa shupavu wenye hoja nzito zenye tija kwa jamii.
Sent from Geneva_ Switzerland
Nyie ndio wale mkisikia neno "Demokrasia" mnakimbia kidogo mfe!Matusi mengine nayo! Nani kakudanganya kuwa matako sina? au mavi yangu hayanuki?
Umeshindwa kujibu unabakia kushabikia matako na mavi ya mwenzako, kaa na hiyo civilazation yako. Waafrika hatuna haja ya usenge wenu, manake, majibu yako ni yale ya wasenge waliokomaa! Demokrasia my Ass. Ni matako tu yanayonuka.
Hoja ni za kweli au uongo.View attachment 1455981
Gazeti la pili kwa uuzaji nchini Hispania El País limechapisha habari isemayo "John Magufuli the African Bolsonaro" kutokana na njia anayotumia kupambana na janga la virusi vya corona. Gazeti hilo limetaja viongozi kama Donald Trump (Rais wa Marekani) na Jair Bolsonaro (Rais wa Brazil) kama viongozi waliokataa kuchukua hatua madhubuti dhiti ya virusi vya corona. Gazeti hilo limemtaja Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania kama kinara wa Africa kwa ukaidi, limetoa shutma kwa Rais Magufuli kwa kugoma kutoa taarifa kuhusiana na idadi ya visa na vifo vya ugonjwa huu tishio duniani. Wameongezea kwa kuponda mbinu mbali mbali kama maombi, na upimaji wa sampuli za mapapai na mbuzi katika kugundua mapungufu ya maabara ya Taifa.
Hata hivyo gazeti hilo limemsifu Rais Magufuli kwa uwezo wake wa kuchapa kazi na kutokupokea rushwa na ujenzi wa miundo mbinu mingi wakati akilitumikia taifa kama Waziri wa Ujenzi.
Source: John Magufuli, o Bolsonaro africano
Maoni yangu: Taarifa hizi si nzuri kwa sekta ya utalii na hata biashara, japokuwa tuna mapungufu katika vita hii lakini hakuna taifa lisilo na mapungufu kila moja kuna sehemu limeteleza natumaini serikali litafuatilia nini ni chanzo kwa vyombo hivi kutufanya tuonekane wazembe na kudhihakiwa na kupakwa sifa mbaya.
Lazima tujiulize ni nini kipo nyuma ya tuhuma hizi? Hii ni vita na kama alivyosema Mh. Rais leo kuna kitu zaidi lakini hawezi kukisema sasa.
Weka namba upewe teuzimagufuli atakuja kukumbukwa kwenye historia kama rais muafrica aliejitambua karne ya 21
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo Mnaomsifia hapa Bongo ni Mambuzi jike?
Walikuwa wanaongelea njia mbali mbali zilizochukuliwa kupambana na korona. Kisha wakaitaja Sweden kwamba imechukua njia kama za majirani zao Tanzania.Mkuu walikuwa wanaongelea nchi hii?
Sweden becomes country with highest coronavirus death rate per capita for last 7 days
Ati tufe? mmejaribu kila mbinu! Waatu wanapeta! Hatufi! Na sada ndio tutazaliana kweli kweli.Nyie ndio wale mkisikia neno "Demokrasia" mnakimbia kidogo mfe!
Mzee jamii inataka demokrasia na adherence to human rights,hamtaki....with time itabidi mhame dunia muende Mars mkaishi under dictatorship..
Bwana bure kawaharibu ubongo kabisa,upo hapa unatetea dictatorship?Really?
Kama jamii tunarudi nyuma aisee!
Sasa mnakuja na hoja kana kwamba Tanzania pekee ndio imefuata utaratibu huo
Yes Mh Magufuli ndiye shupavu kuliko hao wote wanawatumia wajing na wajuaji kama wewe, na mtarudi kwenye chaki wenyewe tuendelee kunywa mtoriAcheni siasa maji taka tunataka nchi iwe na wanasiasa shupavu
Then why mpo so disturbed sisi pro-democracy tunapotetea democracy?Ati tufe? mmejaribu kila mbinu! Waatu wanapeta! Hatufi! Na sada ndio tutazaliana kweli kweli.
Demokrasia unayoifikiria kichwani mwako ndio hiyo hiy😵f which unaipinga,which is even oxymoronic!Hiyo "demokrasia" unayodai ya wapi?
Hutaki Human Rights,unataka nini?Human rights? Do you really have the moral authority to impose such a statement? Nevertheless enticing the "Wananchi" (jamii) wa kwetu! ati "Jamii ...inataka demokrasia"... na kututishia kwenda sayari nyingine? Humanity?
View attachment 1455981
Gazeti la pili kwa uuzaji nchini Hispania El País limechapisha habari isemayo "John Magufuli the African Bolsonaro" kutokana na njia anayotumia kupambana na janga la virusi vya corona. Gazeti hilo limetaja viongozi kama Donald Trump (Rais wa Marekani) na Jair Bolsonaro (Rais wa Brazil) kama viongozi waliokataa kuchukua hatua madhubuti dhiti ya virusi vya corona. Gazeti hilo limemtaja Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania kama kinara wa Africa kwa ukaidi, limetoa shutma kwa Rais Magufuli kwa kugoma kutoa taarifa kuhusiana na idadi ya visa na vifo vya ugonjwa huu tishio duniani. Wameongezea kwa kuponda mbinu mbali mbali kama maombi, na upimaji wa sampuli za mapapai na mbuzi katika kugundua mapungufu ya maabara ya Taifa.
Hata hivyo gazeti hilo limemsifu Rais Magufuli kwa uwezo wake wa kuchapa kazi na kutokupokea rushwa na ujenzi wa miundo mbinu mingi wakati akilitumikia taifa kama Waziri wa Ujenzi.
Source: John Magufuli, o Bolsonaro africano
Maoni yangu: Taarifa hizi si nzuri kwa sekta ya utalii na hata biashara, japokuwa tuna mapungufu katika vita hii lakini hakuna taifa lisilo na mapungufu kila moja kuna sehemu limeteleza natumaini serikali litafuatilia nini ni chanzo kwa vyombo hivi kutufanya tuonekane wazembe na kudhihakiwa na kupakwa sifa mbaya.
Lazima tujiulize ni nini kipo nyuma ya tuhuma hizi? Hii ni vita na kama alivyosema Mh. Rais leo kuna kitu zaidi lakini hawezi kukisema sasa.
Unaweza kujiulza n kip ambacho mabwana wakubwa wanataka tufanye ili waappreciate kuwa tumechukua hatua kudhibiti huu ugonjwa???View attachment 1455981
Gazeti la pili kwa uuzaji nchini Hispania El País limechapisha habari isemayo "John Magufuli the African Bolsonaro" kutokana na njia anayotumia kupambana na janga la virusi vya corona. Gazeti hilo limetaja viongozi kama Donald Trump (Rais wa Marekani) na Jair Bolsonaro (Rais wa Brazil) kama viongozi waliokataa kuchukua hatua madhubuti dhiti ya virusi vya corona. Gazeti hilo limemtaja Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania kama kinara wa Africa kwa ukaidi, limetoa shutma kwa Rais Magufuli kwa kugoma kutoa taarifa kuhusiana na idadi ya visa na vifo vya ugonjwa huu tishio duniani. Wameongezea kwa kuponda mbinu mbali mbali kama maombi, na upimaji wa sampuli za mapapai na mbuzi katika kugundua mapungufu ya maabara ya Taifa.
Hata hivyo gazeti hilo limemsifu Rais Magufuli kwa uwezo wake wa kuchapa kazi na kutokupokea rushwa na ujenzi wa miundo mbinu mingi wakati akilitumikia taifa kama Waziri wa Ujenzi.
Source: John Magufuli, o Bolsonaro africano
Maoni yangu: Taarifa hizi si nzuri kwa sekta ya utalii na hata biashara, japokuwa tuna mapungufu katika vita hii lakini hakuna taifa lisilo na mapungufu kila moja kuna sehemu limeteleza natumaini serikali litafuatilia nini ni chanzo kwa vyombo hivi kutufanya tuonekane wazembe na kudhihakiwa na kupakwa sifa mbaya.
Lazima tujiulize ni nini kipo nyuma ya tuhuma hizi? Hii ni vita na kama alivyosema Mh. Rais leo kuna kitu zaidi lakini hawezi kukisema sasa.
Kuna mambo mengi yenye kuashirikia udikteta na ndio maana mambo kama haya yanaanza kutokea. Unakumbuka kwamba bashite amepigwa stop kwenda Marekani na pengine hata mkuu akiendelea hivi atapigwa stop kama hizo. Hatupo vizuri tena kwenye medani za kidiplomasia za dunia tumekuwa zaidi kama Korea ya Kaskazini.
Gazeti la pili kwa uuzaji nchini Hispania El País limechapisha habari isemayo "John Magufuli the African Bolsonaro" kutokana na njia anayotumia kupambana na janga la virusi vya corona. Gazeti hilo limetaja viongozi kama Donald Trump (Rais wa Marekani) na Jair Bolsonaro (Rais wa Brazil) kama viongozi waliokataa kuchukua hatua madhubuti dhiti ya virusi vya corona.
Gazeti hilo limemtaja Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania kama kinara wa Africa kwa ukaidi, limetoa shutma kwa Rais Magufuli kwa kugoma kutoa taarifa kuhusiana na idadi ya visa na vifo vya ugonjwa huu tishio duniani. Wameongezea kwa kuponda mbinu mbali mbali kama maombi, na upimaji wa sampuli za mapapai na mbuzi katika kugundua mapungufu ya maabara ya Taifa.