Magazeti ya Mabeberu yameanza chokochoko El País wamuita John Magufuli, the African Bolsonaro. Nini kipo nyuma ya tuhuma hizi ?

Magazeti ya Mabeberu yameanza chokochoko El País wamuita John Magufuli, the African Bolsonaro. Nini kipo nyuma ya tuhuma hizi ?

Hata zile zenye mwelekeo, hazijatoa takwimu za kweli. Waathirika wengi katika hizo nchi unazofikiri zinajali "humanity" zinaficha ukweli, kwa mfano Nu yok... watu ambao wameathirika kwa wingi ni weusi na walatino, lakini unachosikia ni walioathirika na waliokufa. Ambacho husikii ni wale ambao wakifika hospitali na ishara zote za korona kumi tisa, haswa weusi na walatino, wanarudishwa nyumbani bila kupata tiba! Na ni nchii Tajiri au? Na hiyo ni "Humanity"?

Save the pity to yourself
Wewe,New York itoe takwimu za uongo na watu wa-verify ni za uongo unajua athari yake?

Uongozi mzima wa kisiasa jiji zima lingekosa kura na wote wangeambiwa wajiuzulu

Unajua mahali penye demokrasia iliyokomaa ni kwamba uongo kidogo tu unabadili regime change,hivyo walio madarakani juu chini hawawezi kitu cha hujuma bahati mbaya wajulikane!

Ndio uzuri wa demokrasia iliyokomaa!

Halafu sio "Nu Yok" mzee,unapotaja jina uwe na heshima nalo ni kama wewe Syllogist mtu akuite "Matako-Ass-Illogist-Mavi-Kunuka" nafikiri utajisikia safi sana I guess!

Ni New York,na sio "Nu Yok"

Nchi zote zilizoficha takwimu ni nchi masikini kutupwa na au kama ni tajiri hazina demokrasia zina dictatorship au autocracy au somekind of stupid political system.

Civilizations zina mabaya na mazuri yake ila Civilization ya kuiga ni ya Western Civilization sio some slave-concentration-camp-autocratic civilization of the East and some shit like that!
 
Leo nilikuwa nasikiliza KBC asubuhi nikasikia wanaitaja nchi moja kati ya zile za Scandinavia aidha Denmark au Norway siikumbuki inafuata hatua kama za Tanzania. Hawakuwa na lockdown wala nini, ila maisha yaliendelea. Sasa mnakuja na hoja kana kwamba Tanzania pekee ndio imefuata utaratibu huo. Acheni siasa maji taka tunataka nchi iwe na wanasiasa shupavu wenye hoja nzito zenye tija kwa jamii.
Sent from Geneva_ Switzerland
Sweden
IMG-20200522-WA0005.jpg
 
Corona haina madhara sana kwa afrika na hicho ndio cha msingi, laiti ingekuwa inafanya kama unavyowafanya hao wenzetu basi hata huyo sijui Rwanda Kenya Uganda nao wangeonekana hakuna walichofanya. Kwahiyo hali ya corona kwa afrika ndio inampa jeuri MaguBolsonaro kufanya anayoyafanya na ndio hufanya tuone hao Kenya wenye lockdown ya usiku kuwa nao wako siriaz na mapambano ya corona.
 
Sweden and UK two different countries

UK is a small country with very big population compared to Sweden

Sweden is a bigger country with very small population

UK ina utamaduni wa misongamano,Sweden ina utamaduni mkali sana wa kujitenga individually,no Swede talks to another Swede,anywhere!

Ku-compare these two countries ni ukichaa!

Sweden is traditionally isolative society,no one talks to anyone or near anyone!

Unlike UK!

Mtapita kila mahali kuhalalisha incompetences za bwana mawe!
 
Good comparison yako lakini sio kila mtu anakubaliana na Magufuli.
 
Alijua hofu ndio adui mkubwa wa maisha ya mwanadamu. Ikumbukwe hata Gideon wakati anaandaa jeshi Mungu alianza kuwachuja wenye hofu kwamza ndipo akafuatia kwa wavivu na wazembe. Hivyo katika hili naungana na Rais katika vita na corona. Japo tahadhari lazima zichukuliwe.
 
Kwa upande wangu, tunaweza kuchukua tuhuma hizi siyo kama tatizo, bali fursa za kujisahihisha pale ambapo tunaona hatukufanya vizuri na kujiimarisha pale ambapo tumefanya vizuri. Maisha ni mapambano. Binafsi huwa nachukulia 'criticisms' positive. Wakati naanza maisha nilikuwa sina kitanda, meza ya chakula, TV, kabati la nguo na la vyombo, nilikuwa na viatu pair moja na suruari pair mbili. Siku moja nikasikia habari kuhusu mimi mtaani na zilipelekwa na mfanyakazi wa ndani. Niliposikia nilikasirika sana na niliataka kumfukuza maana niliona kwa nini mambo ya nyumbani anayapeleka nje? Lakini nilipojitafakari nilikuta hatabari alizopeleka mtaani ni za kweli. Hivyo, badala ya kumfukuza niliorodhesha na nikapanga mkakati wa kuanza kununua kitu kimoja kimoja kadiri nilivyoweza kupata hela. Mwishowe nikajikuta vyote ambavyo majirani walijua sina nikajikuta ninavyo na baadhi yao kuwazidi na siku'react' kwa chochote. Hali hiyo ilinisaidia sana namna ya ku'deal' na criticisms hadi leo. Hata kama naweza kubisha. lakini deep down naona kilichosemwa na ninakifanyia kazi. Approach hii imenisaidia sana ku'improve' maisha yangu. Watu wengine wanachukia 'criticism'. Ni kama mtu anayekuonyesha kitu cha mbali kwa kidole: anasema (mfano) 'nyote ile...' Yaani anataka ufuatishe kidole chake ili uone nyota ilipo na siyo wewe kuangalia tu kidole anachoonyesha na kudhani hapo ndipo mwezi ulipo. We have to change challenges (including criticisms) into opportunities na kusonga mbele na siyo kubaki tumesimama na kuuhuzunika/kukasirika nk.
kwahiyo wewe boss wangu unaishi kwa kutizama nani anasema nini na kuhusu nini juu yako?!!..labda ulikuwa huna hivyo vitu kw lengo la kutaka kununua kiwanja je au kujisomesha zaidi!!...ila sikupingi ni mtazamo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1455981
Gazeti la pili kwa uuzaji nchini Hispania El País limechapisha habari isemayo "John Magufuli the African Bolsonaro" kutokana na njia anayotumia kupambana na janga la virusi vya corona. Gazeti hilo limetaja viongozi kama Donald Trump (Rais wa Marekani) na Jair Bolsonaro (Rais wa Brazil) kama viongozi waliokataa kuchukua hatua madhubuti dhiti ya virusi vya corona. Gazeti hilo limemtaja Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania kama kinara wa Africa kwa ukaidi, limetoa shutma kwa Rais Magufuli kwa kugoma kutoa taarifa kuhusiana na idadi ya visa na vifo vya ugonjwa huu tishio duniani. Wameongezea kwa kuponda mbinu mbali mbali kama maombi, na upimaji wa sampuli za mapapai na mbuzi katika kugundua mapungufu ya maabara ya Taifa.

Hata hivyo gazeti hilo limemsifu Rais Magufuli kwa uwezo wake wa kuchapa kazi na kutokupokea rushwa na ujenzi wa miundo mbinu mingi wakati akilitumikia taifa kama Waziri wa Ujenzi.

Source: John Magufuli, o Bolsonaro africano

Maoni yangu: Taarifa hizi si nzuri kwa sekta ya utalii na hata biashara, japokuwa tuna mapungufu katika vita hii lakini hakuna taifa lisilo na mapungufu kila moja kuna sehemu limeteleza natumaini serikali litafuatilia nini ni chanzo kwa vyombo hivi kutufanya tuonekane wazembe na kudhihakiwa na kupakwa sifa mbaya.
Lazima tujiulize ni nini kipo nyuma ya tuhuma hizi? Hii ni vita na kama alivyosema Mh. Rais leo kuna kitu zaidi lakini hawezi kukisema sasa.

El Pais ni gazeti ambalo linahusiwhwa na Fake news, na mara nyingi limeshitakiwa kwa habari ambazo haziko sahihi, zenye kutaka kuharibu sifa za viongozi na ukwepaji kodi.

Uktaka ufafanuzi zaidi ingia kwenye hii kitu yaitwa Transparency Toolkit
 
View attachment 1455981
Gazeti la pili kwa uuzaji nchini Hispania El País limechapisha habari isemayo "John Magufuli the African Bolsonaro" kutokana na njia anayotumia kupambana na janga la virusi vya corona. Gazeti hilo limetaja viongozi kama Donald Trump (Rais wa Marekani) na Jair Bolsonaro (Rais wa Brazil) kama viongozi waliokataa kuchukua hatua madhubuti dhiti ya virusi vya corona. Gazeti hilo limemtaja Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania kama kinara wa Africa kwa ukaidi, limetoa shutma kwa Rais Magufuli kwa kugoma kutoa taarifa kuhusiana na idadi ya visa na vifo vya ugonjwa huu tishio duniani. Wameongezea kwa kuponda mbinu mbali mbali kama maombi, na upimaji wa sampuli za mapapai na mbuzi katika kugundua mapungufu ya maabara ya Taifa.

Hata hivyo gazeti hilo limemsifu Rais Magufuli kwa uwezo wake wa kuchapa kazi na kutokupokea rushwa na ujenzi wa miundo mbinu mingi wakati akilitumikia taifa kama Waziri wa Ujenzi.

Source: John Magufuli, o Bolsonaro africano

Maoni yangu: Taarifa hizi si nzuri kwa sekta ya utalii na hata biashara, japokuwa tuna mapungufu katika vita hii lakini hakuna taifa lisilo na mapungufu kila moja kuna sehemu limeteleza natumaini serikali litafuatilia nini ni chanzo kwa vyombo hivi kutufanya tuonekane wazembe na kudhihakiwa na kupakwa sifa mbaya.
Lazima tujiulize ni nini kipo nyuma ya tuhuma hizi? Hii ni vita na kama alivyosema Mh. Rais leo kuna kitu zaidi lakini hawezi kukisema sasa.
Watakuja tu.
 
Yule!usifie au umponde yule hajali,wanaccm wapo watamsifia na watayaponda mabeberu hukilu wakipokea pesa zao.Kwenye utalii hapo ni issue,Kuna nchi zitatengeneza propaganda kuwa hatukushulikia vilivyo suala la Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wao mpaka leo tangu walivyo anza kutangaza na kujilock down wamefanikisha lipi la maana katika kupunguza maambukizi na vifo vitokanavyo na korona
 
Sidhani kama anashida ya kusifiwa na Mabeberu lakini Rais ni alama ya taifa, shutma yoyote inaakisi taifa letu, leo hii hizi chokochoko wanazoanzisha zinafanya Tanzania isionekane salama ama kuwa na visa vingi vya ugonjwa huu wa corona. Kuna mahali wanajaribu kututingisha na kuna sababu, ukisikiliza kauli za Rais kuna kitu zaidi nyuma ya pazia lakini kwa sasa hataki kukisema. Muda utatupa majibu sahihi.
Corona haina kificho ndugu yangu kama hapa kwetu ingechanganya mitaani tungetikisika hata wewe udingepata muda Wa kuandika, Muda utasema wacha tu waseme mwisho watachoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe,New York itoe takwimu za uongo na watu wa-verify ni za uongo unajua athari yake?

Uongozi mzima wa kisiasa jiji zima lingekosa kura na wote wangeambiwa wajiuzulu

Unajua mahali penye demokrasia iliyokomaa ni kwamba uongo kidogo tu unabadili regime change,hivyo walio madarakani juu chini hawawezi kitu cha hujuma bahati mbaya wajulikane!

Ndio uzuri wa demokrasia iliyokomaa!

Halafu sio "Nu Yok" mzee,unapotaja jina uwe na heshima nalo ni kama wewe Syllogist mtu akuite "Matako-Ass-Illogist-Mavi-Kunuka" nafikiri utajisikia safi sana I guess!

Ni New York,na sio "Nu Yok"

Nchi zote zilizoficha takwimu ni nchi masikini kutupwa na au kama ni tajiri hazina demokrasia zina dictatorship au autocracy au somekind of stupid political system.

Civilizations zina mabaya na mazuri yake ila Civilization ya kuiga ni ya Western Civilization sio some slave-concentration-camp-autocratic civilization of the East and some shit like that!
Matusi mengine nayo! Nani kakudanganya kuwa matako sina? au mavi yangu hayanuki?

Umeshindwa kujibu unabakia kushabikia matako na mavi ya mwenzako, kaa na hiyo civilazation yako. Waafrika hatuna haja ya usenge wenu, manake, majibu yako ni yale ya wasenge waliokomaa! Demokrasia my Ass. Ni matako tu yanayonuka.
 
Back
Top Bottom