Magazeti ya Mabeberu yameanza chokochoko El País wamuita John Magufuli, the African Bolsonaro. Nini kipo nyuma ya tuhuma hizi ?

Magazeti ya Mabeberu yameanza chokochoko El País wamuita John Magufuli, the African Bolsonaro. Nini kipo nyuma ya tuhuma hizi ?

[emoji848][emoji848][emoji848]
34567890-.jpg
 
Viongozi wetu wanajua mengi zaidi ya Tunayoyajua sisi,Tuwaamini tu! Nadhani wanajua wanachokifanya..
 
Umesema gazeti hilo ni la pili kwa mauzo huko Hispania? Inawezekana hata Lionel Messi huwa analisoma siyo? Kama ni hivyo basi jamaa anamuona Jiwe kuwa ni bonge la kenge, tena kenge wa purple.
 
Nadhani wewe unasikiliza propaganda za magazeti na media,umeambiwa mpaka booking zimejaa,Je hapo usichoelewa nini?

Ni kwamba wazungu wanajua ukweli ni upi na propaganda ni zipi,Baada ya mwezi kupokea watalii Tz,subiri comments kwenye Trip advisor wakitoa review ya hali halisi Tz,achana na fake news.
 
Sidhani kama anashida ya kusifiwa na Mabeberu lakini Rais ni alama ya taifa, shutma yoyote inaakisi taifa letu, leo hii hizi chokochoko wanazoanzisha zinafanya Tanzania isionekane salama ama kuwa na visa vingi vya ugonjwa huu wa corona. Kuna mahali wanajaribu kututingisha na kuna sababu, ukisikiliza kauli za Rais kuna kitu zaidi nyuma ya pazia lakini kwa sasa hataki kukisema. Muda utatupa majibu sahihi.
Mzungu atakusifia wewe mwafrika endapo tu narudia endapo tu umeacha mianya ya yeye kukunyonya. Lakini ukiziba mianya ya yeye kukunyonya wewe ni adui namba moja. Hivyo usishangae JPM kuita na wazungu ''mkaidi''

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spain waige wafe, sisi hakuna lockdown na njia ni kama hizo walizopondea maajabu ni kwamba wao wamekufa wangi sna.

Watu watasema Tanzania imeficha taarifa lakini vifo havifichiki, si tumeonamazishi ya usiku? Kama kweli vifo vingekuwa vingi zaidi ya kule kwao sababu sisi na raisi wetu wazembe tungeona tu kama tulivyoona mazishi ya usiku.

Hawa ni wa kuwapuuzia tu na mitazamo yao potofu. Kuna jambo wamejifunza kuhusu waafrika na kuhusu uhai hakuna mwenye hati miliki sababu ya utajiri wake.
 
Back
Top Bottom