Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga