Kwa msisi yetu
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 844
- 1,450
Kuna mtu bado ananunua hayo magazeti siku hizi?
Tajiri si utoe zako pia?Bahasha za khaki
kwa namna habari zinavyosambaa kipitia smartphone, don't bother na media houses, ofcoz hawaandiki habari nyeti na hata wasipoandika madhara yake ni kidogo sana... habari zinasambaa zaidi kwa social media kuliko magazeti. Leo hii mpaka vijijini ndani ndani wanajua nini kinaendelea..Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
Yaani walete tension kwenye nchi kisa mpuuzi mmoja tu. Ni upuuzi wa hali ya juu kudhani mzungu anatupenda sisi ngozi nyeusi. Pamoja na matatizo yetu yote, ni bora tupambane wenyewe lkn sio mzungu. Mzungu alie muua Gadaffi na wengineo viongozi bora kabisa kwa Africa. Na rudia tena huo ni ujinga.Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
Umesahau juzi Balile kapewa tuzo kwenye ile hafla ya kalamu ya mama.?
Unafikiri ile ilikuwa bahati mbaya na huyo jamaa mmoja uliyemtag si ulimuona pia alikuwepo na miwani yake?
Mpaka hapo huoni media zimewekwa kwenye pochi la mama Abdul kama awekavyo lipstick zake?
ID yako ina "Dr. PhD". Ila baadae nikakumbuka miaka kadhaa nyuma kabla JF haijaja pale Daslam kulikuwa na "Dk. Mugishagwe" na "Dk. Nelson Lutta". Ahahahahaha!Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
Anayehariri magazeti yupo ikuluUkistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
Ni msiba mzito kwakweli.Hujasikia waandishi wa habari wamepewa tuzo za mlungula za Samia Kalamu, mawaziri wanashindana kuwapa pesa waandishi, na Samia akasema atawaongezea fungu?
Sasa hapo unategemea nini?
Tunasoma tu kurasa za mbele online.Kuna mtu bado ananunua hayo magazeti siku hizi?
Nina zaidi ya miaka minne sijashika gazeti lolote lile mkononi wala kupoteza muda kutazama wala kusikiliza kipindi chochote cha Magazeti redioni, online au kwenye TV.!Tunasoma tu kurasa za mbele online.
Kweli wewe una PhD fake kabisa eti Bunge la EU halijawahi kuketi special kuijadili TZ!! Wakati Mbowe aliposhitakiwa pia hao wanaume wako EU walikaa na kujadili na hakuna kulichobadirika mpaka Mbowe alipokubali kuacha ujinga.Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
Nyinyi ndio uwa mnagongewa sana wake na mademu zenu, washikaji wakiwatonya juu ya mienendo ya wake na mademu zenu mnakataa oooooh leta ushahidi, wife/demu wangu hawezi nisaliti.Ungeweka na ushahidi ingekuwa vema sana.
Wahariri wa mama ....Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.