Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Tanzania hakuna Media, ziwe TV Redio gazate, online nk, kwahilo kuua media ccm elifanikiwa kwa 100%Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
Wapo makini na habari wanazoandika wasije wakaparuliwa .Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
MSIGWA ==>> Balile ==>> Habari inafika gazetini kuchapishwa. Hamna Taasisi iliyo mbovu kama hii Tanzania sasa hivi,Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
hiyo ni legacy media, kama TV zao tu, zama hizi tunamalizana online maisha yanaendelea.Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
Hujasikia waandishi wa habari wamepewa tuzo za mlungula za Samia Kalamu, mawaziri wanashindana kuwapa pesa waandishi, na Samia akasema atawaongezea fungu?Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
Halafu utasikia kuna uhuru wa habari TanzaniaUkistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
Hii ni habari wali isubiri ili kufunika habari nyingine kama za kuteka watu na kushambulia.Magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Habari kubwa ni G55 kwasababu itaficha habari ya EU. Ni mkakati Wananchi wasielewe Taifa lipo wapi. Media hazijali madhara kwa Taifa, zinajali masilahi yao !•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
Haijatokea mara moja, ni mwendelezo tu. Habari zinahaririwa na media houses zinapelekewaSwali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?