Magazeti ya Tanzania kuna kitu gani kinaendelea? Mmepewa nini mpaka mnajitoa akili?

Media House iliyokua na Heshima ni Mwananchi siku hizi nao ni kama tu Tanzanite wanapishana kidogo sana.
ITV bila Mengi imeshakua nanyenyewe hamja kitu
 
Watanzania wanaosoma magazeti hawafiki laki tatu wengi wanasoma yale ya michezo na udaku.

Afadhali sana mitandaoni kama JAMBO TV na Mwanzo THE CHANZO na vingine hivyo vinastahili pongezi.
 
kwa namna habari zinavyosambaa kipitia smartphone, don't bother na media houses, ofcoz hawaandiki habari nyeti na hata wasipoandika madhara yake ni kidogo sana... habari zinasambaa zaidi kwa social media kuliko magazeti. Leo hii mpaka vijijini ndani ndani wanajua nini kinaendelea..
 
Yaani walete tension kwenye nchi kisa mpuuzi mmoja tu. Ni upuuzi wa hali ya juu kudhani mzungu anatupenda sisi ngozi nyeusi. Pamoja na matatizo yetu yote, ni bora tupambane wenyewe lkn sio mzungu. Mzungu alie muua Gadaffi na wengineo viongozi bora kabisa kwa Africa. Na rudia tena huo ni ujinga.
 
ccm imewanunua kama kondomu, tumebaki na jf tu
 
ID yako ina "Dr. PhD". Ila baadae nikakumbuka miaka kadhaa nyuma kabla JF haijaja pale Daslam kulikuwa na "Dk. Mugishagwe" na "Dk. Nelson Lutta". Ahahahahaha!
Waliitesa sana Daslam miaka ile, lakini walipobananishwa na u Dk. wao, wakaenda kuapa RITA kuwa "Dk" ni majina yao sio wa kusomea! Ahahahahaha!
Sisi Wahaya oyeeeeee!!!
 
Anayehariri magazeti yupo ikulu
 
Hujasikia waandishi wa habari wamepewa tuzo za mlungula za Samia Kalamu, mawaziri wanashindana kuwapa pesa waandishi, na Samia akasema atawaongezea fungu?

Sasa hapo unategemea nini?
Ni msiba mzito kwakweli.
 
Tunasoma tu kurasa za mbele online.
Nina zaidi ya miaka minne sijashika gazeti lolote lile mkononi wala kupoteza muda kutazama wala kusikiliza kipindi chochote cha Magazeti redioni, online au kwenye TV.!

Kiukweli hatuna magazeti kwa maana ya chombo cha habari na hata mtu akikaa karibu nami na kufungua gazeti sijawahi kupata hata hamu ya kuchungulia anasoma nini.

Ni mimi na simu yangu full stop na hata nikiwa nyumbani kwangi ni mimi na laptop tu!
 
Kweli wewe una PhD fake kabisa eti Bunge la EU halijawahi kuketi special kuijadili TZ!! Wakati Mbowe aliposhitakiwa pia hao wanaume wako EU walikaa na kujadili na hakuna kulichobadirika mpaka Mbowe alipokubali kuacha ujinga.

Hata sasa hivi hakuna chochote kitabadirika eti wanataka TZ iheshimu ushoga!! Au na wewe ni shoga nini ndio maana unataka vyombo vya habari viweke hiyo habari ya kishoga front page?
 
Ungeweka na ushahidi ingekuwa vema sana.
Nyinyi ndio uwa mnagongewa sana wake na mademu zenu, washikaji wakiwatonya juu ya mienendo ya wake na mademu zenu mnakataa oooooh leta ushahidi, wife/demu wangu hawezi nisaliti.

Mpaka siku uone live unajitundika kamba ya shingo.
 
Bahat nzur sahv dunia ni kijiji,waache waendeleze ujinga wao,baadae hakuna atakaenunua hzo gazeti
 
Wahariri wa mama ....
 
Unataka magazeti yetu yawe mouthpieces za mabeberu? Yawasaidie EU kumtukana Rais, kumdhalilisha Mwafrika shauri ya ushoga wa tundulissu na askofubagonza? The free press is free only to those who own it. CHADEMA ni freelancers wa CNN na BBC kwa broken English hawajui Wala kuwa wasomaji wa BBC hawamjui tundulissu na ushoga wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…