Kaanzishe magazeti yako uwe na uhuru wa kuweka headingsUkistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
Wote wanapata mwongozo toka serikalini kupitia mabosi wao (wahariri), CCM ni chama kilichochoka na ndiyo maana hawajuwi walifanyalo zaidi ya kukamata watu na kuua pale wanapokosolewa.Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
kampuni zao zinapewa mwongozo na CCM kupitia viongozi wao, wanaambiwa wachapishe story za kumsifia Samia tu na kukandamiza upinzani. Pia wanaambiwa kabisa kuwa wananchi wakilalamika kutaka mabadiliko waambieni umuhimu wa kukariri Qur'an ili wapotoke nasi tuendelee kufanya yetu (wizi).Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
Maburungutu ya ndululu aliyowanunua mama yamewafanya wawe vibaraka.Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
Hivi kuna watu mpaka leo bado mnasoma magazeti! Mimi sijui ni mwaka wa ngapi huu! Tangu enzi za gazeti la Mwanahalisi la wakati uleee!!
Nadhani huwa wanalipwa kuandika habari hata hivyo G-55 hawana msisimuko ni sawa na kuchota ndoo moja kwenye bahari ama ziwa ukajisifia kwamba umeikomoa bahariUkistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania hili halijawahi kutokea na G55 kujitowa Chadema hapa ipi ni habari kubwa na yenye madhara kwa Taifa?
•Swali la pili inakuwaje magazeti yote ukisoma vichwa vyao vya habari ni kama Mhariri ni mmoja? Kuna siri gani au kitu gani kinaendelea hapo?
Maswali ni mengi kuliko majibu hebu huu mjadara ili uwe na tija na tutende haki kwa media house zetu naomba wachangiaji pitieni kwanza kwa Mirlad Ayo au online platform yoyote inayopost kurasa za magazeti kila siku, someni magazeti yote kurasa za za mbele naamini wote tutakubaliana kuna tatizo sehemu siyo bure.
Pascal Mayalla Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Kiranga
Jitambuwe Jumatano JJ, Rai la Jenerali Ulimwengu, Mwanahalisi la Said Kubenea wa zamani na mwananchi la Nation Media ile yenye Kenyan spirit halisi.Magazeti yalikuwa 2012 kurudi chini huko