Magazeti yote ya leo hakuna lililoandika habari za Waraka wa TEC

Mmesomewa na watu wasiojua raha ya ngono, nyie ni wajinga kabisa.
Si ndiyo maana mmeuvua Utanzania na utaifa wenu mkaamua hata kama ni kinyume cha sheria kupigana mkataba upite mkiamini hao waarabu wanakuja kumwaga hela muengeze wake kila mtu wanne wanne ili mfurahie ngono vizuri!!!

Nasema uwongo?
 
Mimi Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume

Napendekeza Waraka Wa TEC Usomwe katika Makanisa Na Jumuia Ndogondogo Za Jumuia ya Afrika Mashariki/ East African Community.
 
Unategemea watu wanaosubiria kuteuliwa waandike chochote? Hakuna waandishi nchi hii, enzi zilikuwa na Jenerali Ulimwengu, wengine wachumia tumbo.
 
Miaka 10 ijayo waarabu watakuwa wanavuta pesa nyingi kuliko ss km tukiwaachia bandar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…