chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kwa wasiojua, mmisiri pale ni nyapara, hajengi, hawa Chato dynasty ndio wameji subconstruct .
Magenge ya awamu ya tano yaligawana tenda ya ujenzi wa mradi wa Stiglers, hawa wanaopiga kelele na kumshutumu Waziri Makamba, ni kwamba wameanza kuuona moto, kampuni zao zimeanza kuitwa moja baada ya nyingine kujieleza na kuonyesha jinsi gani wanafata mkataba, na waelezee walipataje tenda.
Mradi huu, kampuni ya Misri haijengi hata tofali moja, waliugawana magenge ya awamu iliyopita, yeye mmisiri mi nyapara tu.
Waziri Makamba anapoanza kuuchimba mradi huu na vikampuni vilivyojipa tenda, wahusika akina Mpina na polepole, wanakuja juu, sio kwamba ni wazalendo, vikampuni vyao vinapokea malipo hewa bila kufanya kazi, na Sasa vinabanwa mbavu.
Namuomba mama apitishe msako na ukaguzi mkali aviondoe, kazi afanye mkandarasi mwenyewe, tuondoe madalali wa kazi, hao ndio wanafanya mradi uwe na gharama kubwa.
Na wooote ni Chato dynasty.
Makamba, pondaponda hao wapiga dili, Tina imani na wewe.
Wakikomaa sana, CAG aende pale, atoe taarifa kwa kuvianika vikampuni uchwara vilivyojipa tenda Stiglers .