Magereza wakana kumsukuma Lissu mahakamani

Wanatuonaje hawa sisi wananchi?

Ndio mana yunataka reforms kuachana na upumbavu huu
 
Mpaka hii kesi inaisha naona kuna mambo yatatokea mabaya either kwa Hakimu, mawakili ,magereza au mtuhumiwa.
 
Barua kama kitabu
Halafu haina mashiko.
Enzi za mwalimu division four za mwisho ndio waliokua wanaajiriwa magereza. Why? Kwasababu ni kazi ambayo sio lazima uwe division one ndio uweze kuifanya vizuri. Actually walikua wanaangalia watu wenye maguvu zaidi.
Nadhani siku hizi huo utaratibu haupo.
 
Hawa jamaa ni wapumbavu kweli yani wanajaribu kukanusha kitu ambacho kila mtu alikiona
Hawajakanusha bali wamesema walimshughulikia kwa mujibu wa taratibu za Magereza. Soma barua uelewe acha kukariri mkuu.
 
Barua refuuuuuu kwakua wanatumia uongo kuhalalisha Ujinga walomfanyia Mh TAL
Siungi mkono alichofanyiwa Lissu, ila nakuuliza.

Ulitaka Uwe na page ngapi ili uone n ya kweli?

Ht ingekuwa fupi bado ungesema wameandika kwa ufupi mana hawana maelezo ya kutosha ya tukio hilo
 
Reactions: UCD
Andika na wewe yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…