Magereza wakana kumsukuma Lissu mahakamani

Watanzania wengi hawana elimu ya uraia, hivyo kupelekwa kama ng'ombe wanaona ni maisha ya kawaida kabisa.

Sasa huo umasikini wa fikra ukijumlisha na umasikini wa mali (ambao una undugu wa damu na roho mbaya na uchawi) ndio kabisaaa wanabaki kushangilia sheria zikivunjwa kuwaumiza wenzao. Yaani ni faraja kwa masikini wa kichwani na mfukoni kuona watu wengine wakinyanyaswa na kupokwa haki zao.
 
Hawajakanusha bali wamesema walimshughulikia kwa mujibu wa taratibu za Magereza. Soma barua uelewe acha kukariri mkuu.
Wewe kenge wa mama soma aya ya tatu ya huo uharo wa hao kenge wenzio. Tena wamekwambia si tu wanakanusha, bali wanakanusha vikali.
 
Tumezoea wanapiga wafungwa na mahabusu mpaka makofi, sasa Lissu kusukumwa tu wanaba msamaha, who is Lissu 🤣
Kupitia LISU jamii imepata mengi yanayoendelea kwenye magereza yetu . Uonevu ukiwa mfungwa au mahabusu ASKARI magereza wanakuchukulia kama mnyama hivyo kwa kilichotokea kwa Lissu ni hali halisi wanachofanyiwa wengine ambao hawana sauti
 
Wewe kenge wa mama soma aya ya tatu ya huo uharo wa hao kenge wenzio. Tena wamekwambia si tu wanakanusha, bali wanakanusha vikali.
Wewe nyumbu umesoma hapo tu basi? Soma pia barua yote wameelezea kilichotokea wewe shoga wa Mhaini.
 
Askari Magereza naye ni mfungwa tu
 
Kuvaa mask(ninja) ni sehemu ya mavazi ya magereza? Nadhani sare za jeshi la magereza zimeanishwa vizuri kwa mjibu wa sheria na mwogozo wa jeshi hilo. Hakuna sehemu imeandikwa askari magereza atavaa ninja.
 
Tumezoea wanapiga wafungwa na mahabusu mpaka makofi, sasa Lissu kusukumwa tu wanaba msamaha, who is Lissu 🤣
Na wewe *****! unaona ni sawa watuhumiwa kupigwa kama vibaka! Tuna mwendo mrefu bado kama asilimia kubwa ni kama wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…