Magereza zenye mateso zaidi Tanzania, usiombe ukanyage huko

Magereza zenye mateso zaidi Tanzania, usiombe ukanyage huko

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
1. Gereza la Ngwalla, Chunya

Hili ni namba 1 lipo msituni na wala hakuna ulinzi mkali wala ukuta ila hukuna mfungwa anaweza kutoroka.
Gereza hili limezungukwa na wanyama wakali kama Simba, Chui, Fisi n. K
Hutumika kuhufadhi mateka wa Kijeshi

2 Gereza la Kitai, Songea
Hili ni namba mbili
Kazi ngumu uhakika, shughuli kubwa ni kuchimba chumvi
Oyaa siyo poa

3. Gereza la Kilimo Kitengure, Kagera
Hili gereza ni maalum Kwa kilimo
Wanapelekwa watu wenye vifungo vya muda mrefu
Kazi ngumu mfungwa akiamka anapewa bonge la plot la kulima.
Usiombe ukanyage Kitengure

4 Gereza la Mng'aro, Tanga

Hapo Kuna balaa, wale walioshindikana au wafungwa watukutu katika magereza mengine hupelekwa pale
Kuna adhabu Kali, kulazwa kwenye barafu, isolation n. K

5 Gereza la Kilimo na kazi ngumu Idete, Morogoro

Hapo ukihukumiwa adhabu ya miaka + kazi ngumu laZima upelekwe pale.
Kulima, kujenga, n. K
Hadi usiku ni kazi tu
Hapo laZima mfungwa anyoke

6 Gereza la Molo, Sumbawanga
Achana na Magereza ya Segerea na Ukonga huko wafungwa wanapewa chips
Mollo ni noma ni kazi, Giza, adhabu, mapori, mbu ni hatari
Huko wanaenda watu wenye adhabu za vifungo vya muda mrefu

7 Gereza la Isanga, Dodoma

Gereza hili maalum Kwa ajili ya kunyongea waliohukumuwa kifo.

Hapo ukiwa na nidhamu utaishi vyema, chakula uhakika, maisha sio magumu,
Ila ukijifanya umepinda ndo utajua Kuna wahuni wanajua kutesa

8. Gereza la Isupilo, Iringa
Ni hatari
Walipelekwa mashehe kule walikuja wanalia na wala hawakuongea tena

9 Gereza la kazi ngumu Maweni, Tanga
Oyaa utaponda kokoto hadi kukubali

10. Kingurugundwa, Lindi
Huko ni hatari hakuna maji na kazi ngumu kweli
 
Natamani zali la kupelekwa kwenye hayo magereza linipate. Huo mkono ntakavyoutembeza humo gerezani uspime.

adriz de mbusii
 
Kwa kweli jela sio poa ila napenda sana zile movie za wafungwa wanatoroka jela mfano Ile Alcatraz napenda wanavyotumia akili nyingi.
Unaweza kufanya hata wewe hapa Tanzania kwa kutoroka kwenye Magereza kama Movie uzipendazo wanavyoigiza.

Iba, tukana na gombana na watu uwaumize ufungwe hata miezi sita tu then utoroke kama kwenye movies vile.
 
Kwa kweli jela sio poa ila napenda sana zile movie za wafungwa wanatoroka jela mfano Ile Alcatraz napenda wanavyotumia akili nyingi.
Kuna kipindi fulani nlikuwa msumbiji,kule kuna gereza linaitwa machava
Sasa kwenye kutoroka,kuna mchongo ila maskari baadhi wanashirikishwa ila mzee unavyoambiwa kimbia,kimbia maana wao wanakuja nyuma wanagonga shaba,sasa hapo wewe ni mwendo wako tu na kasi 😄
Hii syo sinema ni kweli

Ova
 
Back
Top Bottom