Huyo jamaa ni mpuuzi tu achana nae, mimi nimeshakutana na ndugu wa damu waliokaa jera zaidi ya miaka 5, mwingine alikuwa na kesi ya ujambazi + takataka zingine, akakaa jela zaidi ya miaka 15, hii kesi alipewa tu na mtu mkubwa enzi hizo.Huna akili wala adabu, umeona kuna mahala humu natukana mzazi wa mtu achilia mbali kukutukania mzazi wako ?
Wote hao hakuna hata mmoja anayeona kukaa jera ni uanaume zaidi ya kusisitiza kwenye muda wa kusali tuwe tunaombea waliopo magereza .