Magereza zenye mateso zaidi Tanzania, usiombe ukanyage huko

Magereza zenye mateso zaidi Tanzania, usiombe ukanyage huko

Kitengule karagwe ni hatari sana .

Kumbuka chakula wanacholima watu wa kitengule ndo kinaletwaga ktk magereza ya mjini n.k means Kuna watu wanaumia kwa ajili ya watu wengine
Hata magereza ya kilimo ya Idete na Kiberege yanayopatikana Mkoani Morogoro Wilaya ya Kilombero huwa sehemu ya chakula chake huwa inabebwa kwenda kulishia magereza ya mjini.

Huko Idete na Kiberege ni hatari. Msimu wa kilimo kuna watu huwa wanalia kama watoto kutokana na mabakora wanayopigwa na viherehere! Fimbo kama mpini wa jembe, ukichelewa kutembea kwenye mstari wako hata kwa nusu hatua tu unakutana na fimbo ya mgongo.

Na hapo asubuhi umeamkia uji mtupu kwenye belenge! Saa 10 jioni ndiyo unakula mlo mmoja tu unaojumlisha mchana na jioni, halafu unaenda kulala mpaka kesho asubuhi! Hatari sana.
 
Karanga - Moshi mambo mazuri maabusu/mfungwa akitoka katakata kabisa kuanzia rangi mpk afya!! Unaweza sema katoka uzazi 😂
Nalijua hilo gereza hata maaskari wake hawana shida na watu. Tulikuwa tunatoroka shule kwenda pale kutazama mpira na hawana shida kabisa na wanafunzi waliotoroka. Pale hamna gereza pale ni kituo cha malezi.
 
Unaweza kufanya hata wewe hapa Tanzania kwa kutoroka kwenye Magereza kama Movie uzipendazo wanavyoigiza.

Iba, tukana na gombana na watu uwaumize ufungwe hata miezi sita tu then utoroke kama kwenye movies vile.
20260403_115252.jpg
 
Back
Top Bottom