GE2025 Maggid Mjengwa: Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka Katiba, hii sio ajenda ya mwananchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔

Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.

===

Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa

"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"

Haahaa wanaccm waliojificha kwenye media Wana matatizo Sana...
 
Katiba inabadilishwa kutokana na sababu nyingine,Moja wananchi wamechoka hiyo katiba,mbili katiba haina faida Kwa wenyenchi Sasa nchi imepata Uhuru 1961 hadi Leo inatumia katiba hiiiiii why?Yaani Kuwa mbunge unatakiwa ujue kusoma na kuandika tu?Kwa wakati huo wa 1929 na 1961 ilifaa iwe hivyo Kwa Kuwa raia waliosoma walikuwa wachache lakini Leo Karne ya 21 kipengele hicho hakitufai Kwa sababu tumeshavuka hiyo hatua
 
Kama wachambuzi wetu ni hawa, basi tuna safari ndefu. Hajui kuwa wapinzani wana advantage ya kuweza kuhoji yale ambayo hayajatimizwa na chama tawala? Kuwa wapinzani wanaweza kukiunganisha chama tawala na matatizo yote yanayowakabili wananchi? Mambo kama upoteaji wa wananchi na kutotendewa haki ni mizigo ya chama tawala, sio wapinzani. Inasikitisha sana kumsikiliza huyu mchambuzi.

Hapo bado kubeza kwake umuhimu wa Katiba Mpya. CCM sio mara ya kwanza kuahidi kuwa mchakato wa Katiba Mpya utafanyika. Hicho nacho ni kidonda ambacho wapinzani wanaweza kukichokonoa.

Amandla...
 
Majid ni rafiki yangu. Lakini kwa hili sijui analenga nini! Majid ni mweledi sana lakini sielewi kafikaje hapa.

Mtu kama Majid anaposhindwa kutofautisha kati ya Ahadi na Ajenda, naanza kupata wasiwasi naye.

Halafu imekuwaje mtu kama yeye aingie kwenye mtego wa kusema kuwa "Katiba ni Kitabu" kama vile mtu asiye na uelewa kabisa jinsi nchi zinavyoendeshwa.

Hivi Imamu anaweza kusema Quran tukufu ni Kitabu tu? Huo Uislamu wake alio nao nje ya Quran unapatikanaje? Nje ya Quran unawezaje kuupata Uislamu?

Au Askofu anawezaje kusema anaendesha Kanisa nje ya Biblia. Yeye amekuwaje Mkristo nje ya Biblia? Inawezekanaje kuupata Ukristo nje ya Biblia?

Hayo mambo ya barabara, Hospitali, Ajira au Kilimo na biashara nje ya Katiba Muongozo wa kuyafanya unatoka wapi?

CHADEMA wanasema mfumo unaompa Rais mamlaka ya teuzi ni mpana Sana na usihojika hivyo unatakiwa ubadilishwe.

Hivi Majid hajui Kuwa hata mgawanyo wa madaraka unatokana na Katiba iliyopo? Unawezaje kubadili mfumo wa kiutendaji bila ya kubadili Katiba ambayo ndiyo imeweka mfumo huo wa kiutendaji?
 
Wakuu!

Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔

Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.

===

Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa

"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"

Hivi wale wananchi waliokusanyika bila malipo mbele ya Tume ya Jaji Warioba ni wa nchi ipi?
 
Una rafiki mjinga.
 
Wakuu!

Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔

Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.

===

Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa

"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"

Mmoja wa ma-idiots tulionao, anayedhani anajua kumbe anahubiri ujinga
 
Atulize komwe hilo.
#No reforms no election
 
Wakuu!

Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔

Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.

===

Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa

"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"

Kwamba CHADEMA ni Wana Anga?
 
Kwani CHADEMA siyo wananchi?
Kinacho nifanya niwaone watu wenye hoja kama hii ya huyu kibakuli kuwa ni wapumbavu na wana uelewa mdogo wa mambo ni kuamini kwamba wananchi wanao watambua wao ni wanachama wa CCM pekee na wanao iunga mkono CCM pekee, sasa huwa nashindwa kuwaelewa hili kundi la wananchi oubwa kabisa linalo iubga CHADEMA mkono sijajua kwa CCM wanaonekana kama ni mbuzi au bata?
 
Back
Top Bottom