KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,118
- 40,850
Huyo Maggid ni Chawa aliyejificha kwenye uchambuzi uchambuzi uchwara......
Wanamtaka mama yake.Wakuu!
Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔
Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.
===
Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa
"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"
Acha uchawa wewe - ushakuwa mzee kina Mwijaku na Baba levo tunawaelewa walau njaa ya umri ila so wewe dingi mzima kujitoa ufahamu hivi hujui namna chaguzi na nchii hii zinavyoendeshagwa na ma kando kando yake yote? au we ni mgeni nchi hii ndugu? Au unataka CDM waingie tena ili wanachi wazikwe wakiwa hai, wawe vilema, wafunguliwe mashitaka ya kuua na tuongeze idadi ya wajane iki iwe ahueni kwako.Wakuu!
Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔
Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.
===
Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa
"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"
Wakuu!

Njaa imekimbilia kichwani huyo chawaMajid ni rafiki yangu. Lakini kwa hili sijui analenga nini! Majid ni mweledi sana lakini sielewi kafikaje hapa.
Mtu kama Majid anaposhindwa kutofautisha kati ya Ahadi na Ajenda, naanza kupata wasiwasi naye.
Halafu imekuwaje mtu kama yeye aingie kwenye mtego wa kusema kuwa "Katiba ni Kitabu" kama vile mtu asiye na uelewa kabisa jinsi nchi zinavyoendeshwa.
Hivi Imamu anaweza kusema Quran tukufu ni Kitabu tu? Huo Uislamu wake alio nao nje ya Quran unapatikanaje? Nje ya Quran unawezaje kuupata Uislamu?
Au Askofu anawezaje kusema anaendesha Kanisa nje ya Biblia. Yeye amekuwaje Mkristo nje ya Biblia? Inawezekanaje kuupata Ukristo nje ya Biblia?
Hayo mambo ya barabara, Hospitali, Ajira au Kilimo na biashara nje ya Katiba Muongozo wa kuyafanya unatoka wapi?
CHADEMA wanasema mfumo unaompa Rais mamlaka ya teuzi ni mpana Sana na usihojika hivyo unatakiwa ubadilishwe.
Hivi Majid hajui Kuwa hata mgawanyo wa madaraka unatokana na Katiba iliyopo? Unawezaje kubadili mfumo wa kiutendaji bila ya kubadili Katiba ambayo ndiyo imeweka mfumo huo wa kiutendaji?
Sijui kwa kweli. Ni mtu ambaye tunaheshimiana sana mawazo yetu. Nikikutana naye nitamuuliza kimemkuta nini!!Una rafiki mjinga.
Akili ikishahamia tu tumboni kuna wakati unaweza hata ukajishangaa wewe mwenyewe.Wakuu!
Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔
Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.
===
Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa
"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"
UCHAWAIla Majig Mjegwa alikuwa vizuri Sana kwenye uchambuzi wa siasa enzi za Kikwete kwenye gazeti la Rai, sijui Nini kimemkuta huyu jamaa.
Rubbish and empty set huyoWakuu!
Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔
Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.
===
Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa
"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"
Kalambishwa asaliIla Majig Mjegwa alikuwa vizuri Sana kwenye uchambuzi wa siasa enzi za Kikwete kwenye gazeti la Rai, sijui Nini kimemkuta huyu jamaa.
CCM sio wananchi!?Kwani CHADEMA siyo wananchi?
Huyu Majid Mjengwa kachanganyikiwa. Watoto wa makada wa CCM hakuna aliye timamu kichwani. Kwa mawazi yake CHADEMA siyo wananchi.Kwani CHADEMA siyo wananchi?
WOTE HAO NI WANANCHI HAKUNA SHAKA WALA WASIWASICCM sio wananchi!?
ACT WAZALENDO wanaoshiriki Uchaguzi Mkuu sio wananchi?
CHAUMA wanaoshiriki Uchaguzi Mkuu sio wananchi?