GE2025 Maggid Mjengwa: Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka Katiba, hii sio ajenda ya mwananchi

GE2025 Maggid Mjengwa: Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka Katiba, hii sio ajenda ya mwananchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu Majid Mjengwa kachanganyikiwa. Watoto wa makada wa CCM hakuna aliye timamu kichwani. Kwa mawazi yake CHADEMA siyo wananchi.
Yaani wao wanachofikiria ni kuilinda ccm kwa gharama yoyote.Hawana uchungu na nchi ila wana uchungu na matumbo yao.
 
Wakuu!

Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔

Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.

===

Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa

"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"

Huyu mpuuzi sana, kwa kuwa Chama kingine kimeweka kitu kwenye Ilani ndiyo inaondoa uhalali wa madai?

Mabadiliko yanayodaiwa pamoja na mambo mengine ni ili uchaguzi uwe huru na wa haki? Swala la uchaguzi huru na wa haki linakuwaje siyo hitaji la wananchi wakati ni wananchi hao wanaotarajiwa kupotezewa muda wao kwenda kupiga kura ili waamue nani awe kiongozi wao?

Ana maanisha maamuzi ya wananchi ni upuuzi? Hata baada ya wananchi kuamka, anataka waendelee kupuuzia na kutoyapa uzito maamuzi ya nani awaongeze?

Huyu anajiita mchambuzi ilihali akili zake zinefintwa katika mfumo wa mazoea ya maamuzi ya ya CCM.

Lwake wananchi ni wakuna nani? Hao wapinzani kwake siyo wananch8? Hafahamu juwa hao ndiyo wadau wakuu katika eneo hilo na kauli yao ndiyo kauli ya Wananchi?
 
Namheshimu sana Mchambuzi Maggid Mjengwa; tulikuwa naye enzi ya Gazeti la Rai akichambua mambo ya msingi. Leo Mchambuzi anasema Katiba ni Kitabu? Afanallekhi!
Kati ya CCM na CDM nani alianza kudai Katiba?
Sasa mtashangaa, baada ya uchaguzi wote waliobagaza Katiba mpya tutaanza kuimba pambio moja, kwa kuwa tu CCM tumeamua tuanze mchakato.
Mimi kama Mwanachama wa CCM toka mwaka 1987 natamani tuandike Katiba mpya; maana Katiba ya sasa haitufaidishi hata wana CCM.
 
Wakuu!

Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔

Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.

===

Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa

"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"


MAGGID MJENGWA ANATUMIA AKILI NA UZOEFU WAKE VIBAYA KUUPUMBAZA UMMA KWA FAIDA YA CCM

Screenshot_20250703_204637_Chrome.jpg


Maggid Mjengwa amekuwa ni mtu mwenye akili timamu na mchambuzi makini wa masuala ya kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Lakini siku hizi naona ameamua kujitoa ufahamu kwa sababu anazozijua yeye.

Ni hivi:

1. Ndani ya Jamhuri Wananchi ni kikundi cha kisiasa chenye mamlaka ya kuiajiri serikali

2. Serikali ni mwajiriwa wa wananchi anayeweza kufukuzwa kazi kama akikiuka masharti ya kazi

3. Katiba ni waraka wenye malengo ya kisiasa unaofanya kazi kama Job Description inayotolewa na mwajiri (mwananchi) kwa mwajiriwa (serikali), na wananchi wanaweza kuibadilisha wakati wowote wakitaka

4. . Ajenda ya kisiasa ni seti ya malengo na vipaumbele vilivyotungwa na kikundi cha kisiasa

5. Hivyo, Katiba ni ajenda ya kudumu ya wananchi kwani ndio kipimo cha kila siku cha kukadiria utendaji kazi wa mwajiri wao anayeitwa serikali

Mambo Yote haya Majjid anayafahamu lakini ameamua kuyapuuzia kwa sababu anaongea akiwa chini ya shinikizo maalum, napendekeza.

Mwongozo: Kwa ajili ya kulinda maslahi mapana ya kitaifa kauli za kina Mjengwa zinazotaka kuwatenganisha wananchi na katiba yao zipuuzwe kabisa.
 
Wakuu!

Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔

Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.

===

Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa

"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"

Kwa hiyo Kikwete alivyounda tume ya katiba mpya na gharama zote za Bunge la katiba ilikuwa ni kwa ajili ya kuifurahisha Chadema tu.!!;
 
Wakuu!

Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔

Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.

===

Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa

"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"


..kama Katiba na Tume Huru inawahusu Chadema peke yao si wapewe? Shida ni nini?

..mbona kwa mfano, wakulima wa korosho wanapewa ruzuku ya pembejeo, lakini wakulima wa nyanya hawapewi.
 
Wakuu!

Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔

Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.

===

Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa

"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"

Hao ni wachambuzi wenye Elimu tu.Ila bahati mbaya sana AKILI TIMAMU ndio hawana,ukishindwa kuelewa umuhimu wa katiba kama Sheria mama hii ni Elimu tunajifunza Form two.Ila naona na huyu Majjid upepo umempitia kama ule uliompitia Zitto kabwe wa mahaba ya kidini .
 
Wakuu!

Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔

Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.

===

Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa

"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"

Mjengwa hajui katiba ni nini na umuhimu wake?

Ni kweli haelewi au ni uchawa tu?
 
Back
Top Bottom