Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwani CHADEMA siyo wananchi?Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa
"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"
🚮Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa
"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"
Haahaa wanaccm waliojificha kwenye media Wana matatizo Sana...Wakuu!
Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔
Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.
===
Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa
"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"
Hivi wale wananchi waliokusanyika bila malipo mbele ya Tume ya Jaji Warioba ni wa nchi ipi?Wakuu!
Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔
Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.
===
Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa
"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"
Una rafiki mjinga.Majid ni rafiki yangu. Lakini kwa hili sijui analenga nini! Majid ni mweledi sana lakini sielewi kafikaje hapa.
Mtu kama Majid anaposhindwa kutofautisha kati ya Ahadi na Ajenda, naanza kupata wasiwasi naye.
Halafu imekuwaje mtu kama yeye aingie kwenye mtego wa kusema kuwa "Katiba ni Kitabu" kama vile mtu asiye na uelewa kabisa jinsi nchi zinavyoendeshwa.
Hivi Imamu anaweza kusema Quran tukufu ni Kitabu tu? Huo Uislamu wake alio nao nje ya Quran unapatikanaje? Nje ya Quran unawezaje kuupata Uislamu?
Au Askofu anawezaje kusema anaendesha Kanisa nje ya Biblia. Yeye amekuwaje Mkristo nje ya Biblia? Inawezekanaje kuupata Ukristo nje ya Biblia?
Hayo mambo ya barabara, Hospitali, Ajira au Kilimo na biashara nje ya Katiba Muongozo wa kuyafanya unatoka wapi?
CHADEMA wanasema mfumo unaompa Rais mamlaka ya teuzi ni mpana Sana na usihojika hivyo unatakiwa ubadilishwe.
Hivi Majid hajui Kuwa hata mgawanyo wa madaraka unatokana na Katiba iliyopo? Unawezaje kubadili mfumo wa kiutendaji bila ya kubadili Katiba ambayo ndiyo imeweka mfumo huo wa kiutendaji?
Mbona imo kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCMShida hajui Nini maana ya Katiba. Anadhani ni kijitabu tu. Katiba ndio sheria mama na ramani ya nchi iweje na iendeshwaje.
Mmoja wa ma-idiots tulionao, anayedhani anajua kumbe anahubiri ujingaWakuu!
Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔
Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.
===
Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa
"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"
Kwamba CHADEMA ni Wana Anga?Wakuu!
Hivi mnamwelewa Maggid Mjengwa kwa tafakari za kisiasa? 🤔
Maggid anasahau kuwa Katiba ndiyo chombo cha kuuongoza mfumo.
===
Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa
"Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka katiba, hii sio ajenda ya mwananchi kwamba itamtoa mahali fulani"
Kinacho nifanya niwaone watu wenye hoja kama hii ya huyu kibakuli kuwa ni wapumbavu na wana uelewa mdogo wa mambo ni kuamini kwamba wananchi wanao watambua wao ni wanachama wa CCM pekee na wanao iunga mkono CCM pekee, sasa huwa nashindwa kuwaelewa hili kundi la wananchi oubwa kabisa linalo iubga CHADEMA mkono sijajua kwa CCM wanaonekana kama ni mbuzi au bata?Kwani CHADEMA siyo wananchi?
Hii dhana ililetwa na CCM kuaminisha Watanzania eti Chama ni viongozi. Hapo na komwe lake anapoongelea CHADEMA anamaanisha mwenyekiti, Makamu na Katibu.Ndio nchi ilipofikishwa, mtu anaweka akili yake pembeni kwa ajili ya uchawa, kwa kuhisi anamfirahisha Fulani.
Kuinanga CHADEMA ni dili.