GE2025 Maggid Mjengwa: Sielewi ajenda ya CHADEMA wanataka nini? Wanasema wanataka Katiba, hii sio ajenda ya mwananchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanamtaka mama yake.
 
Acha uchawa wewe - ushakuwa mzee kina Mwijaku na Baba levo tunawaelewa walau njaa ya umri ila so wewe dingi mzima kujitoa ufahamu hivi hujui namna chaguzi na nchii hii zinavyoendeshagwa na ma kando kando yake yote? au we ni mgeni nchi hii ndugu? Au unataka CDM waingie tena ili wanachi wazikwe wakiwa hai, wawe vilema, wafunguliwe mashitaka ya kuua na tuongeze idadi ya wajane iki iwe ahueni kwako.
Acha hizo we mzee.
 
Ajenda zote za wananchi kiini chake ni hiyo ajenda ya CDM!

Ni ufahamu mdogo tu ndiyo unafanya washindwe kuhusianisha ugumu wao wa maisha na hii katiba ya 1977.

BTW:Kwa nini the so called wachambuzi wa siasa kwenye mainstream wanakuwa waislamu zaidi.

Fuatilia kuazia Azam TV hadi BBC,DW,VOA ni akina Said Msonga,Ahmed Rajab,Bashiru Ally etc
 
Kuna watu wanajua wananchi ni wana ccm na viongozi wachama na serikali wangine ni watu.
 

Kama Katiba siyo ajenda ya Wananchi atuambie agenda ya Wananchi ni ipi?

Tatizo, Wakati Warioba anazunguka nchi nzima kukusanya maoni huyu jamaa alikuwa Sweden.
 
Njaa imekimbilia kichwani huyo chawa
 
Nawaombeni ruhusa nimtoe roho huyu mpumbavu kwa maslahi mapana ya taifa
 
Una rafiki mjinga.
Sijui kwa kweli. Ni mtu ambaye tunaheshimiana sana mawazo yetu. Nikikutana naye nitamuuliza kimemkuta nini!!

Majid ni mtu anayejali mantiki kwenye kujenga hoja na Elimu yake ya maisha na ya darasani si ya kutilia shaka. Kaishi ulaya zaidi ya miaka 16 mfululizo hivyo kujua umuhimu wa Katiba si jambo la kukumbushwa. Sijui kimemkuta nini!!!
 
Akili ikishahamia tu tumboni kuna wakati unaweza hata ukajishangaa wewe mwenyewe.
 
Ila Majig Mjegwa alikuwa vizuri Sana kwenye uchambuzi wa siasa enzi za Kikwete kwenye gazeti la Rai, sijui Nini kimemkuta huyu jamaa.
 
Rubbish and empty set huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…