"Magharibi Wamechoka: Uingereza Hoi, Marekani Analia, China Anacheka – Mchezo wa Dunia Unabadilika"

Msela Wa Kitaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2021
Posts
2,217
Reaction score
4,280
Wakati Gaza inageuzwa kifusi na Ukraine akiombewa dua tu, dunia inatambua ukweli mmoja mchungu: Myahudi si mtu wa kuchezewa – ni gaidi wa kisheria na mafia wa kisiasa.
Lakini yote haya hayawezi kueleweka vizuri bila kumuangalia mlinzi wake mkuu – Marekani.

1. Kwa Nini Marekani Anamlinda Israel Bila Aibu?​

  • Marekani ndiye mlezi wake – kihistoria, kijeshi, kiuchumi.
  • Kila azimio la UN la kulaani Israel? USA: VETO.
  • Mataifa 14 yapige kura – USA apinge peke yake, limekufa.

Hapa si kura 1 = kura 1, ni kura ya Marekani = kinga ya kifalme.

2. China Ilichomoka Vipi Hadi Kura Moja UN?​

  • Baada ya WWII, ROC (Taiwan) ilikuwa inawakilisha China.
  • 1971: Dunia ikasema “Acha mzaha” – ikatambua People’s Republic of China (PRC) kama China halali.
  • USA wakaunga mkono kimya kimya – kwa ujanja, wakitaka kuitumia China kumfinya Urusi (USSR).

3. Mchezo wa Marekani: Kuingiza China ili Kumpiga Urusi​

  • USA waliona Urusi inapata kiburi – wakaamua kumchokoza kwa kumpa China nafasi ya kimataifa.
  • China ikaingia WTO, viwanda vikahamia humo, bidhaa zikatoka kama popcorn.

Matokeo? China akala qgame – leo ni mpinzani mkubwa wa Marekani.

4. Viwanda vya Magharibi Vilivyohamia China – na Leo Wanalilia Maziwa Yakimwagika​

Makampuni kama Apple, Intel, GM, Adidas, Nike, Tesla walikimbilia China kwa bei rahisi.

  • Wakaweka viwanda
  • Wakaajiri wafanyakazi milioni
  • China ikajifunza, ikaiba, ikaibuka.

Leo Tesla anashindana na BYD; Apple anahamia India kwa woga.

5. Kwa Nini Uingereza Hoi Kiuchumi?​

  • Brexit: Walijitoa EU wakidhani ni ujanja – ikawa janga.
  • Viwanda vimekufa, huduma zimedumaa, vijana wana madeni ya vyuo.
  • London imeporwa heshima na Frankfurt na Paris.
  • Mfumuko wa bei, mishahara duni, makampuni yanasepa.

Taifa lililowahi kutawala dunia, leo linahangaika kama kijiji cha mabondeni.

Hitimisho:​

Dunia si ile ile.
Magharibi wanalia: walidhani wanaitumia China kama “mtumwa wa viwanda,” kumbe wamemkuza Simba.
Uingereza aliwahi kuimba “God Save the Queen”, leo wanaimba “God Save Our Economy.”😂😂
 
Wakati Gaza inageuzwa kifusi na Ukraine akiombewa dua tu, dunia inatambua ukweli mmoja mchungu: Myahudi si mtu wa kuchezewa – ni gaidi wa kisheria na mafia wa kisiasa.
Lakini yote haya hayawezi kueleweka vizuri bila kumuangalia mlinzi wake mkuu – Marekani.

1. Kwa Nini Marekani Anamlinda Israel Bila Aibu?​

  • Marekani ndiye mlezi wake – kihistoria, kijeshi, kiuchumi.
  • Kila azimio la UN la kulaani Israel? USA: VETO.
  • Mataifa 14 yapige kura – USA apinge peke yake, limekufa.

2. China Ilichomoka Vipi Hadi Kura Moja UN?​

  • Baada ya WWII, ROC (Taiwan) ilikuwa inawakilisha China.
  • 1971: Dunia ikasema “Acha mzaha” – ikatambua People’s Republic of China (PRC) kama China halali.
  • USA wakaunga mkono kimya kimya – kwa ujanja, wakitaka kuitumia China kumfinya Urusi (USSR).

3. Mchezo wa Marekani: Kuingiza China ili Kumpiga Urusi​

  • USA waliona Urusi inapata kiburi – wakaamua kumchokoza kwa kumpa China nafasi ya kimataifa.
  • China ikaingia WTO, viwanda vikahamia humo, bidhaa zikatoka kama popcorn.

4. Viwanda vya Magharibi Vilivyohamia China – na Leo Wanalilia Maziwa Yakimwagika​

Makampuni kama Apple, Intel, GM, Adidas, Nike, Tesla walikimbilia China kwa bei rahisi.

  • Wakaweka viwanda
  • Wakaajiri wafanyakazi milioni
  • China ikajifunza, ikaiba, ikaibuka.

5. Kwa Nini Uingereza Hoi Kiuchumi?​

  • Brexit: Walijitoa EU wakidhani ni ujanja – ikawa janga.
  • Viwanda vimekufa, huduma zimedumaa, vijana wana madeni ya vyuo.
  • London imeporwa heshima na Frankfurt na Paris.
  • Mfumuko wa bei, mishahara duni, makampuni yanasepa.

Hitimisho:​

Zamu ya CCM kulia ni sasa
 
We hutaki China awe baba wa dunia?

Mkuu, labda niwe naota

Baba wa dunia si hupatikana baada ya vichapo duniani kote? Yaani.. kwa vita vya Dunia?

Au ni ndoto zangu tu za hovyo hovyo
 
Tupo biz mkuu, haya maanalysis hayatuhusu kiongozi... hatuchoshi vichwa vyetu na mambo magumu hayo

479667084_1255440875940864_7068794020907267846_n.jpg
 
Back
Top Bottom