Wakati Gaza inageuzwa kifusi na Ukraine akiombewa dua tu, dunia inatambua ukweli mmoja mchungu:
Myahudi si mtu wa kuchezewa – ni gaidi wa kisheria na mafia wa kisiasa.
Lakini yote haya hayawezi kueleweka vizuri bila kumuangalia mlinzi wake mkuu –
Marekani.
1. Kwa Nini Marekani Anamlinda Israel Bila Aibu?
- Marekani ndiye mlezi wake – kihistoria, kijeshi, kiuchumi.
- Kila azimio la UN la kulaani Israel? USA: VETO.
- Mataifa 14 yapige kura – USA apinge peke yake, limekufa.
2. China Ilichomoka Vipi Hadi Kura Moja UN?
- Baada ya WWII, ROC (Taiwan) ilikuwa inawakilisha China.
- 1971: Dunia ikasema “Acha mzaha” – ikatambua People’s Republic of China (PRC) kama China halali.
- USA wakaunga mkono kimya kimya – kwa ujanja, wakitaka kuitumia China kumfinya Urusi (USSR).
3. Mchezo wa Marekani: Kuingiza China ili Kumpiga Urusi
- USA waliona Urusi inapata kiburi – wakaamua kumchokoza kwa kumpa China nafasi ya kimataifa.
- China ikaingia WTO, viwanda vikahamia humo, bidhaa zikatoka kama popcorn.
4. Viwanda vya Magharibi Vilivyohamia China – na Leo Wanalilia Maziwa Yakimwagika
Makampuni kama Apple, Intel, GM, Adidas, Nike, Tesla walikimbilia China kwa bei rahisi.
- Wakaweka viwanda
- Wakaajiri wafanyakazi milioni
- China ikajifunza, ikaiba, ikaibuka.
5. Kwa Nini Uingereza Hoi Kiuchumi?
- Brexit: Walijitoa EU wakidhani ni ujanja – ikawa janga.
- Viwanda vimekufa, huduma zimedumaa, vijana wana madeni ya vyuo.
- London imeporwa heshima na Frankfurt na Paris.
- Mfumuko wa bei, mishahara duni, makampuni yanasepa.
Hitimisho: