Magic moment: Unataka kutajiwa tarehe na mwezi wako wa kuzaliwa? Fanya hivi

Ni kweli, Nifundishe! unafanyaje ukishapata hilo jibu la 932? Tupe shule kidogo.
 
Ni kweli, Nifundishe! unafanyaje ukishapata hilo jibu la 932? Tupe shule kidogo.

Mkuu Mimi mwenyewe alikataa kuniambia anafanyaje ila ni algebra tu.fikiria utajua kama Mimi nilivyojua
 

Ni 930
 
Mbona ka mchezo ka jamaa nimekagundua kiurahis yaani hilo jibu unalolipata anatenga namba mbili mbili kwa kutokea kulia then anatoa 5 kulia kushoto ana toa2,mfano yule 1017 ukitoa 2 kwny 10 unapata 8,na 5 kwny 17 unapata 12 there4 kushoto n mwez na kulia n tarehe. hata yule 306 ametoa 5 kwny 06 na 2 kwny 3. ko ukitaka na wewe jaribu kwa mwez wako.
 

Exactly! You are a wizmaster!!
 

nimepata 609
 
Mkuu em ni pm unafanyaje ili nimfanyie rafiki yangu hapa na mimi nipate attention. Huu urafiki na kambi ya upinzani ni gharama kuulea. Fanya mambo kwenye pm bas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…