Magic moment: Unataka kutajiwa tarehe na mwezi wako wa kuzaliwa? Fanya hivi


Ni kweli, huyu jamaa alitaka kujifanya mtabiri kizembe zembe hapa.
 

Nimepata 1122
 
Mimi sijui mwaka wala mwezi niliozaliwa je nifanyeje?
 
Ni kweli, huyu jamaa alitaka kujifanya mtabiri kizembe zembe hapa.

Mwenyewe nimemshtukia...ningemuona mjanja endapo mtu hujui tareh yako ya kuzaliwa then akutajie.
 
Khaa!! Mie nilijua unasoma viganja kumbe unafanya hisabati kinyume
 
[emoji56][emoji56][emoji56]
 
Kwanini unatoa 2 na 5 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…