Magic moment: Unataka kutajiwa tarehe na mwezi wako wa kuzaliwa? Fanya hivi

Mbona ka mchezo ka jamaa nimekagundua kiurahis yaani hilo jibu unalolipata anatenga namba mbili mbili kwa kutokea kulia then anatoa 5 kulia kushoto ana toa2,mfano yule 1017 ukitoa 2 kwny 10 unapata 8,na 5 kwny 17 unapata 12 there4 kushoto n mwez na kulia n tarehe. hata yule 306 ametoa 5 kwny 06 na 2 kwny 3. ko ukitaka na wewe jaribu kwa mwez wako.

Ni kweli, huyu jamaa alitaka kujifanya mtabiri kizembe zembe hapa.
 
N.B:USIFANYE KWA MAGAZIJUTO
1-chukua mwezi uliozaliwa kisha zidisha kwa 5
2-chukua jibu ulilolipata kisha jumlisha na 7
3-zidisha kwa 4 katika jibu ulilolipata
4-jumlisha kwa 13 katika jibu ulilolipta
5-zidisha kwa 5 katika jibu ulilolipata
6-jumlisha trh yako ya kuzaliwa kwenye jibu ulilolipata
comment jibu lako la mwisho ulilolipata zen utatajiwa trh yako na mwezi uliozaliwa

Nimepata 1122
 
Mimi sijui mwaka wala mwezi niliozaliwa je nifanyeje?
 
Khaa!! Mie nilijua unasoma viganja kumbe unafanya hisabati kinyume
 
Mbona ka mchezo ka jamaa nimekagundua kiurahis yaani hilo jibu unalolipata anatenga namba mbili mbili kwa kutokea kulia then anatoa 5 kulia kushoto ana toa2,mfano yule 1017 ukitoa 2 kwny 10 unapata 8,na 5 kwny 17 unapata 12 there4 kushoto n mwez na kulia n tarehe. hata yule 306 ametoa 5 kwny 06 na 2 kwny 3. ko ukitaka na wewe jaribu kwa mwez wako.
[emoji56][emoji56][emoji56]
 
N.B: USIFANYE KWA MAGAZIJUTO;

1- Chukua mwezi uliozaliwa kisha zidisha kwa 5
2- Chukua jibu ulilolipata kisha jumlisha na 7
3- Zidisha kwa 4 katika jibu ulilolipata
4- Jumlisha kwa 13 katika jibu ulilolipta
5- Zidisha kwa 5 katika jibu ulilolipata
6- Jumlisha trh yako ya kuzaliwa kwenye jibu ulilolipata..

Comment jibu lako la mwisho ulilolipata zen utatajiwa trh yako na mwezi uliozaliwa..
Kwanini unatoa 2 na 5 ?
 
Back
Top Bottom