third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 918
- 2,160
Mbona miguno mama?Mmnh
Sio shirki hii kweli?Mbona miguno mama?
Ungeweka na picha mkuuMagic mushrooms sio tuu kukuingiza katika ulimwengu wa maajabu
Pia ninzuri sana kwa wale wanao Fanya meditation yakiwango cha juu sana.
Hii ni ninzuri sana kwa wale wavivu wakukaa kitako muda mrefu kwenye tahajudi.
Utakapo tumia hii kitu nihapo hapo itakuingiza katika ulimwengu wako wakufikirika.
Utaumba kila kitu kwa fikra zako nakitatokea mbele ya macho Yako.
WANAO HITAJI MZIGO UPO WAKUTOSHA TUWASILIANE.
Shirki kivipi mkuu??Sio shirki hii kweli?
Sawa ila picha sio inshu sana kikubwa uamini na ushuhudie Mimi nimtu wa action tuu.Ungeweka na picha mkuu
Wewe sio huo mwili wewe ni roho mwili huo ni kava tuu.Utalisha watu sumu wewe.
Mnataka Mambo ya rohoni ya nini wakati ya ubinadamu yanawashinda.
Tafuta dawa itakayo fanya ni connect na ubinadamu wangu zaidi
Ingali kua sumu basi wakwanza kufa ingali kua ni Mimi.Utalisha watu sumu wewe.
Mnataka Mambo ya rohoni ya nini wakati ya ubinadamu yanawashinda.
Tafuta dawa itakayo fanya ni connect na ubinadamu wangu zaidi
Au ni bange hiyo? 😄Magic mushrooms sio tuu kukuingiza katika ulimwengu wa maajabu
Pia ninzuri sana kwa wale wanao Fanya meditation yakiwango cha juu sana.
Hii ni ninzuri sana kwa wale wavivu wakukaa kitako muda mrefu kwenye tahajudi.
Utakapo tumia hii kitu nihapo hapo itakuingiza katika ulimwengu wako wakufikirika.
Utaumba kila kitu kwa fikra zako nakitatokea mbele ya macho Yako.
WANAO HITAJI MZIGO UPO WAKUTOSHA TUWASILIANE.
Hapana si bangiAu ni bange hiyo? 😄
Kabla ya kuuza bidhaa ngeni,itolee maelezo ya kina na kujibu maswali ya wanunuzi watarajiwa,pia toa tahadhari ya madhara ya bidhaa husikaMagic mushrooms sio tuu kukuingiza katika ulimwengu wa maajabu
Pia ninzuri sana kwa wale wanao Fanya meditation yakiwango cha juu sana.
Hii ni ninzuri sana kwa wale wavivu wakukaa kitako muda mrefu kwenye tahajudi.
Utakapo tumia hii kitu nihapo hapo itakuingiza katika ulimwengu wako wakufikirika.
Utaumba kila kitu kwa fikra zako nakitatokea mbele ya macho Yako.
WANAO HITAJI MZIGO UPO WAKUTOSHA TUWASILIANE.
Vizuri na upo sahihi lakini hua nalenga watu ambao wanautambuzi navitu hivi.Kabla ya kuuza bidhaa ngeni,itolee maelezo ya kina na kujibu maswali ya wanunuzi watarajiwa,pia toa tahadhari ya madhara ya bidhaa husika
Hii Magic mushroom ilishajadiliwa kwa kina sana humu na hata aliyeleta hio mada alitoa tahadhari sana juu ya matumizi yake, na hata yeye aliongozwa na mtu mbobevu sana katika hio tasnia ndio akaweza kutumia,hawa wanaotaka kununua kwenda kujifungia magetoni waanze kulipuliza mtawakuta bila nguo barabarani huko
Sawa,ni vizuriVizuri na upo sahihi lakini hua nalenga watu ambao wanautambuzi navitu hivi.
Moja ya maswali ninayo muuliza muhitaji nipamoja nayeye kujua CHOCHOTE kuhusu hili. Ikiwa hatambua ntampatia maelekezo sahihi na usimamizi pia.
Mambo ninayo yaelezea kwaufupi humu mtandaoni nimambo ambayo nayatambua kiundani sana.
Nauhakika kwamba sikila mtu anaweza kutumia vitu vyanamna hii, niwatu spesho sikila mtu.
Athari zake hazijapshana sana na bangi..ata bangi ina sifa hizo.Magic mushrooms sio tuu kukuingiza katika ulimwengu wa maajabu
Pia ninzuri sana kwa wale wanao Fanya meditation yakiwango cha juu sana.
Hii ni ninzuri sana kwa wale wavivu wakukaa kitako muda mrefu kwenye tahajudi.
Utakapo tumia hii kitu nihapo hapo itakuingiza katika ulimwengu wako wakufikirika.
Utaumba kila kitu kwa fikra zako nakitatokea mbele ya macho Yako.
WANAO HITAJI MZIGO UPO WAKUTOSHA TUWASILIANE.
Ni aina fulani ya dawa za kulevya,yenyewe ni kali tu inaharibu ubongoSio shirki hii kweli?