Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,182
- 9,586
Ninafikiri ni Humphrey Busega.Kabla ya kuuza bidhaa ngeni,itolee maelezo ya kina na kujibu maswali ya wanunuzi watarajiwa,pia toa tahadhari ya madhara ya bidhaa husika
Hii Magic mushroom ilishajadiliwa kwa kina sana humu na hata aliyeleta hio mada alitoa tahadhari sana juu ya matumizi yake, na hata yeye aliongozwa na mtu mbobevu sana katika hio tasnia ndio akaweza kutumia,hawa wanaotaka kununua kwenda kujifungia magetoni waanze kulipuliza mtawakuta bila nguo barabarani huko
Mchangiaji mkuu mwingine alikuwa MK254