Magic mushrooms inanguvu kubwa sana yakufanya ubongo wako uiingie katika ulimwengu wakufikirika wa miujiza

Ninafikiri ni Humphrey Busega.

Mchangiaji mkuu mwingine alikuwa MK254
 
Ni aina fulani ya dawa za kulevya,yenyewe ni kali tu inaharibu ubongo
Hizo ni Psychodelic…..Mind altering substance

Zipo nyîngi. Ni nzuri ukijua namna ya kuzitumia

Wengi wana ziabuse na kuzitumia for recreation ( just to be happy) . But zinapaswq kutumia for spiritual transformation and innovation and creativity as well’as Writings

Mfano wa hizo psychoactive au mind altering plants .
´
1. Psilocybin Mushrooms (Magic mashroom

2. Ayahuasca (Banisteriopsis caapi + Psychotria viridis)

3. Peyote

4. San Pedro

6. Iboga (Tabernanthe iboga

7. Cannabis (High-THC strains)

Bob ilikuwa kabla ya kuandika nyimbo ni lazima apate kwanza , ndio alikuwa alitoa nyimbo ambazo zinaishi hadi leo kama Redemption, three little birds, i wanna love you etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…