LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
Jitahidi Usome Mpaka Mwisho
✅Unatoa milioni 3+ na mtaaluma wa shule kitu pekee anaonyesha kwao ni best ni A+ tena ambazo zimetokana na remedial za kutosha , makambi ,speed test nyingi jua unatapeliwa tu.
✅Nafahamu sio wote watakaonielewa ila katika karne ya 21 ambayo shule ni nyingi sana ,vyuo ni vingi sana ,na uhuru wa kupata taarifa na maarifa ni mwingi sana halafu wanakutambia kwa mkeka wa A+ tu unatapeliwa.
✅Sijaandika kukuhukumu au kuwahukumu watu fulani ila zama za mashindano ya matokeo ya mitihani ya A+ zimeshaisha maana dunia ya mtoto wako ni tofauti na dunia yako ambayo umekua wewe unatakiwa kufahamu hilo .
✅✅Na hili mzazi wala usitegemee shule kuwa zitakusaidia maana nyingi ziko katika hizo mbio na ndio maana mtu akipata C yuko kwao wanamtimua wanataka A+ tu .
✅Umemtoa uku kwetu sababu tuko wengi sana ukapeleka huko na fedha ukalipia na sio vibaya hata kidogo haya jiulize huko kwao skills zingine zipo na ratiba wanazifuata au ni mwendo wa speed test tu na ukiona A+ umefurahi.
We unadhani huku mtaani watu wanakwama sababu hawana A+ au division 1 ?
Yote tisa kumi nataka tu ujiulize kuwa je MTOTO WAKO ATAISHINDA AI KUKARIRI NA KUCHAKATA TAARIFA ?
Kama nitakua nimewakwaza nisameheni sana 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 ila kama una swali niulize
Ila jitahidi usome kitabu changu cha Mzazi Acha Uzembe ( Soft Copy ni 5000 Tu utanishukuru namba ya malipo 0625521168 ( John Magoda )
Magoda Jr .