Three idiots
New Member
- Apr 26, 2020
- 2
- 0
Private watu wanawapeleka watoto sio kwa kupata A .
(I) Mazingira mazuri ya kujifunzia .
(2) walimu wa kutosha na wenye moyo wa kufundisha .
(3) Darasani wanafunzi ni wachache hadi unaenjoy kusoma.
Shule za serikali wanafunzi wanajazana hadi mwalimu kufuatilia kila mwanafunzi inakuwa changamoto.
(4) Kupata msingi bora wa elimu.
Bora mtoto asome private kwa elimu ya msingi huko mbeleni hata akisoma government inakuwa hamna shida anakuwa amepata msingi bora wa elimu kwasababu vingi wanavyosoma shule ya msingi akiwa private wakifika o-level asilimia kadhaa wanakuwa wameshavisoma, wakati wengine wa government wanaanza kujifunza tena kwa lugha nyingine ( kutoka kiswahili kwenda kiingereza).
Lakini hela ikiwepo kusoma private kwa level zote ni nzuri sana .