Mtaani hakuna mtu anauliza hayo ma A unless mtu aje kuwa Mwalimu ndiko wanataka hizo AJitahidi Usome Mpaka Mwisho
✅Unatoa milioni 3+ na mtaaluma wa shule kitu pekee anaonyesha kwao ni best ni A+ tena ambazo zimetokana na remedial za kutosha , makambi ,speed test nyingi jua unatapeliwa tu.
✅Nafahamu sio wote watakaonielewa ila katika karne ya 21 ambayo shule ni nyingi sana ,vyuo ni vingi sana ,na uhuru wa kupata taarifa na maarifa ni mwingi sana halafu wanakutambia kwa mkeka wa A+ tu unatapeliwa.
✅Sijaandika kukuhukumu au kuwahukumu watu fulani ila zama za mashindano ya matokeo ya mitihani ya A+ zimeshaisha maana dunia ya mtoto wako ni tofauti na dunia yako ambayo umekua wewe unatakiwa kufahamu hilo .
✅✅Na hili mzazi wala usitegemee shule kuwa zitakusaidia maana nyingi ziko katika hizo mbio na ndio maana mtu akipata C yuko kwao wanamtimua wanataka A+ tu .
✅Umemtoa uku kwetu sababu tuko wengi sana ukapeleka huko na fedha ukalipia na sio vibaya hata kidogo haya jiulize huko kwao skills zingine zipo na ratiba wanazifuata au ni mwendo wa speed test tu na ukiona A+ umefurahi.
We unadhani huku mtaani watu wanakwama sababu hawana A+ au division 1 ?
Yote tisa kumi nataka tu ujiulize kuwa je MTOTO WAKO ATAISHINDA AI KUKARIRI NA KUCHAKATA TAARIFA ?
Kama nitakua nimewakwaza nisameheni sana 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 ila kama una swali niulize
Ila jitahidi usome kitabu changu cha Mzazi Acha Uzembe ( Soft Copy ni 5000 Tu utanishukuru namba ya malipo 0625521168 ( John Magoda )
Magoda Jr .View attachment 3645021
Elimu ni nini?Ramadhan Masanja aka Banza Stone aliwahi kuimba "kama elimu ni ghali basi jaribu ujinga"
Mkuu kama kulipia elimu ni Utapeli sababu now AI ipo kila mahala,why tununue kitabu wakati tunaweza kupata maarifa Free?huo sio utapeli mwingine??
the pot calling the kettle black
Kwanza thibitisha kama ni mtoto wakoMtoto wangu anasoma english medium ila si kwa sababu apate A, nazingatia apate ujuzi muhimu wa kawaida tangu akiwa mdogo, mambo ya mtoto kuja kuanza kujifunza microsoft word akimaliza kidato cha nne hayo siyataki.
Mimi dingi yake nilipitia huko ila ilihitaji nguvu za ziada sana.
Wazazi wazembe nunue kitabu hicho
Unaelewaje maana ya “mtoto wako”Kwanza thibitisha kama ni mtoto wako
Hilo nalo neno.Mfumo wetu wa ajira na vyuo vikuu hapa nchini bado unachuja watu kwa kutumia hizo A+ na GPA. Mtoto anawezaje kupata nafasi ya kuonyesha hizo skills kama amekatwa kwenye usaili wa kwanza kwa kukosa vyeti vya kueleweka?
Umeona eh? Hii ndio blind spot ya wazazi wengi.Hilo nalo neno.
Kuna dogo nilikuwa namtafutia nafasi kwenye chuo X, dogo ana Div One lakini bado hakidhi vigezo vya eligibility.
kwa mawazo yangu nafikiri kuna mambo mengine ni uchaguzi wa mtu binafsi...Jitahidi Usome Mpaka Mwisho