INAUZWA Magodoro mawili 5×6 yanauzwa..

INAUZWA Magodoro mawili 5×6 yanauzwa..

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unashangaa nini! Hawa ndio wale nyie wachaga mnawaita waswahili, wakipata wanainua pua utadhani mbwa dume kanusa kule[emoji23] wachaga na mafanikio yoote huwezi kusikia kauli ya dharau kama ile
Guigley Mungu anakuonaaa, si kwa kushadidia uko. Mwisho watu utawapganisha naona umesubscribe uzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mungu hapendi na watakuambia atakushusha kama unajiinua
Inaonekana tangu JF imeanzishwa neno langu ndio limekera wengi hasa wewe kiasi cha kutaka M/Mungu anishushe ila M/Mungu huyo huyo anakataza juu ya kulaani wengine,wewe ni nani mpaka unilaani?inamaana wewe ni mwema Sana'a kuliko Wema wote Duniani!! Inashangaza sana eti
Neno kama ulimi wa mbwa kwenye magodoro limetumika sana kuashiria godoro jembamba, je mtunzi wake alilaaniwa na laana inakampata? Sasa kama huna uhakika usipoteze muda wako kunilaani maana ujinga (u masikini) hautokutoka kwa kumchukia mwenye akili (aliyejaaliwa)
 
duh!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Thatsit wewe ni ndg yangu, najali sana sapoti yako ya [emoji736] .
Lengo langu sio kugombanisha bali kukosoana tunapoteleza kama alivyoteleza mrembo mwenzio @ladAJ, najua ni dada mzuri na mwenye roho nzuri bali aliteleza tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inaonekana tangu JF imeanzishwa neno langu ndio limekera wengi hasa wewe kiasi cha kutaka M/Mungu anishushe ila M/Mungu huyo huyo anakataza juu ya kulaani wengine,wewe ni nani mpaka unilaani?inamaana wewe ni mwema Sana'a kuliko Wema wote Duniani!! Inashangaza sana eti
Neno kama ulimi wa mbwa kwenye magodoro limetumika sana kuashiria godoro jembamba, je mtunzi wake alilaaniwa na laana inakampata? Sasa kama huna uhakika usipoteze muda wako kunilaani maana ujinga (u masikini) hautokutoka kwa kumchukia mwenye akili (aliyejaaliwa)
Mamii[emoji15] [emoji15] [emoji15] dawa ya kosa ni kuomba msamaha, wewe u mtu mzuri japo hujagundua umeteleza wapi.
Nakushauri usiendelee kulipamba kosa, watu wote waliokukosoa ni wajinga?
Nikushauri jambo.
Ni kweli hukukosea ulisema kweli lakini si kila mara kweli yote husemwa hadharani
 
Ok you win Guys, am sorry for all the dishes were hurt by my words .....am real sorry
 
Godoro halina haraka.. burudani kwanza..
Hahahaha dah yaani hapa nilipo nacheka tu kwa kweli maana mnavyojibizana ni shiiiiiiiiiida

Halafu kwa badae wewe black chinese na LadyAJ utakuja kuwa marafiki mliotukuka maana majibizano yenu hayaudhi wala kuwakasirisha.
 
Ok you win Guys, am sorry for all the dishes were hurt by my words .....am real sorry
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hapo umeng'aaa mamii, mtu akiomba radhi nani wakumpinga?
Nimekupenda bureeee
 
Ok you win Guys, am sorry for all the dishes were hurt by my words .....am real sorry
Yameisha jmn tuendelee na mengine
Hahahaha dah yaani hapa nilipo nacheka tu kwa kweli maana mnavyojibizana ni shiiiiiiiiiida

Halafu kwa badae wewe black chinese na LadyAJ utakuja kuwa marafiki mliotukuka maana majibizano yenu hayaudhi wala kuwakasirisha.

Guigley Mungu anakuonaaa, si kwa kushadidia uko. Mwisho watu utawapganisha naona umesubscribe uzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yameisha wakuu kaomba radhi, wote huwa tunakosea

Back
Top Bottom