INAUZWA Magodoro mawili 5×6 yanauzwa..

INAUZWA Magodoro mawili 5×6 yanauzwa..

seriously nakutumia kaka!! uwe unadanganya ama kweli nakutumia mpunga huo! tegemea ingizo la airtel money wakati wowote...haya maisha tu bro ili mradi urudi kijijini vema.
Mungu akubarik san
 
Tanzania ya viwanda inanifurahisha kwl, kila mtu kavurugwa, si kwa kujibzana majibu hayo ukizingatia wala hatujuani humu ndani. Maisha yote penda kujijengea marafk na si maadui.
 
ladyAJ mi naomba unisaidie elfu 50, serious mkuu Nina shida. nataka nikamkatie mtoto Toto afya kadi nae apate huduma za afya bora kwa wakati.
 
ladyAJ mi naomba unisaidie elfu 50, serious mkuu Nina shida. nataka nikamkatie mtoto Toto afya kadi nae apate huduma za afya bora kwa wakati.
Nitafute weekend nikupe kazi upate ela, hakuna pesa ya bure bure wakati Mimi nahangaika na mabanda ya kuku
Fanya kazi upate pesa
 
Angalia sana comment za wasiojua maisha, mimi naamini biashara utafanya na utafika bush kuanza maisha mapya ya kilimo na utafanikiwa.
 
Kila anayenipigia simu anakuja na ofa ya 50.. nimezikataa mpaka mwisho nikajikuta nimekubali.... lakini baada ya kuona 50 ni mtelemko sana, nikaamua kuzinunua mwenyewe.. so biashara nishaifunga, ila tunaweza kuendelea na burudani tu.
Ahhhhh,[emoji23][emoji23],..naona umeona isiwe tabu sasa,..hahaha..itabid niwatoe lunch we na ladyAj,..ila mwisho bia tano tano...
 
Ahhhhh,[emoji23][emoji23],..naona umeona isiwe tabu sasa,..hahaha..itabid niwatoe lunch we na ladyAj,..ila mwisho bia tano tano...
Astaghafillah mlaani shetan kaka yangu Mimi hayo mvitu yenu huwa situmii kabisa
 
Back
Top Bottom