INAUZWA Magodoro mawili 5×6 yanauzwa..

INAUZWA Magodoro mawili 5×6 yanauzwa..

Mamii ni NO kwako, ila kuna wanaotamani za hivyo na hawanazo, mshukuru Mungu kwa kuwa na uwezo wa kulalia zenye hadhi zaidi ya hiyo. Kuna watu wana shida we acha tu.
Kweli kabisa. Nasikia wakorea hulalia ubao, hamna godoro. Wanyaki, mniwie radhi mliomo humu, enzi zao walilalia mikeka, tena iliyosukwa kwa majani ya migomba, kwenye vitanda vya malimba!

Kwani humu JF tupitishe bakuli labda ili member afike kijijini kwao.
 
Jamaa umenifanya nisijisikie huruma pia nicheke sana nikisoma uzi wako. Unajua ni kwa nini? yaani wewe Necta wapoteze kumbukumbu zako kweli na wewe ukubali kirahisi rahisi kurudi kijijini kweli? kwa nini usiwaamshie timbwili timbwili?! WE JAMAA ACHA KUTUONA MASORO AISEE SEMA TU UMESTUKIWA MAMBO YAMEHARIBIKA NA UNAUZA GODORO! WENGINE HAPA TUNAWEZA KUKUSAIDIA HATA BILA YA KUNUNUA GODORO UPATE NAULI USEPE KIJIJINI KWENU!! BLAH BLAH ZA NINI BRO?
 
Mbona mengi tu tunayafanya hayampendezj Mungu !! Ikiwamo kusema kinyume cha kile moyo wako waamini na bahati nzuri nimempa ushauri awapitishie mafundi sofa,sasa sijui wewe ulitaka nimwambieje
Yaani huu ushauri wako ulikua fresh sana na angeweza kupiga bingo hiyo au zaidi mpaka 170K kwa mafundi sofa, ila kiukweli angeyaboresha hata kuyawekea cover kama anataka kumuuzia mtu. tatizo ukiwaambia wabongo ukweli wanapaniki..ona sasa hata tukimuuliza yeye alikua analalia magodoro mawili ya nini so kama alikuwa mtumishi feki kifisadi?
 
Mimba ni mimba tu hata kama imetungiwa mtini, na aliyenipa Mimi alinipa kwa sababu ya juhudi na si kujilegeza na kudhani kua nimeumbwa kua masikini No
[emoji87] kwa maneno hayo hata mungu hapendi
Huna muda atachkua alichokupa tuuuu ww
 
Dah, watu mna dharau? sie ndio twalalia hayo ndugu yangu, sasa sijui sie MBWA? hata kule kijijini kwenu Kolomije Mama yako ndo analalia, sasa sijui umemuhusisha na yeye na hilo jina?
Tatizo umekariri, sio kila mtanzania mama yake anaishi kijijini
 
Jamaa umenifanya nisijisikie huruma pia nicheke sana nikisoma uzi wako. Unajua ni kwa nini? yaani wewe Necta wapoteze kumbukumbu zako kweli na wewe ukubali kirahisi rahisi kurudi kijijini kweli? kwa nini usiwaamshie timbwili timbwili?! WE JAMAA ACHA KUTUONA MASORO AISEE SEMA TU UMESTUKIWA MAMBO YAMEHARIBIKA NA UNAUZA GODORO! WENGINE HAPA TUNAWEZA KUKUSAIDIA HATA BILA YA KUNUNUA GODORO UPATE NAULI USEPE KIJIJINI KWENU!! BLAH BLAH ZA NINI BRO?
Kaka we una akili kuliko rais wako.. fanya mpango basi wa kupitisha bakuli niondoke mjini.
0687 089980....
Namba ya airtel money hiyo..
 
Kaka we una akili kuliko rais wako.. fanya mpango basi wa kupitisha bakuli niondoke mjini.
0687 089980....
Namba ya airtel money hiyo..
seriously nakutumia kaka!! uwe unadanganya ama kweli nakutumia mpunga huo! tegemea ingizo la airtel money wakati wowote...haya maisha tu bro ili mradi urudi kijijini vema.
 
seriously nakutumia kaka!! uwe unadanganya ama kweli nakutumia mpunga huo! tegemea ingizo la airtel money wakati wowote...haya maisha tu bro ili mradi urudi kijijini vema.
Naahidi kurudisha mrejesho soon baada ya simu kusoma salio..
 
Angel tunapowaoa na kujaribu kuwaweka sawa na kuwanunulia vigari vya watoto mnaridhika haraka sana na mnaanza kuita magodoro ya wenzenu ni matindiko ya mbwa!!!
Mungu anawaona i see
Dduh. Mie siwezi kuwa na kibri bhana. Nimelala hadi kwenye mkeka mie.
Na mpk leo nasaka mbahindu mwenyewe so najua ugumu na utamu wa kutafuta.
 
Dah!!!this thread make my day for sure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom