INAUZWA Magodoro mawili 5×6 yanauzwa..

INAUZWA Magodoro mawili 5×6 yanauzwa..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imebidi unsubscribe uzi kwa mda
 
Mkuu fanya kitu kimoja, yatafutie cover za bei rahisi, halafu njoo uyatangaze humu kwa ID nyingine na bei ile ile au ya zaidi.

Utashangaa yatakavyouzika haraka.

Usiuze gari ikiwa na pancha, ziba kwanza halafu ndo utangaze kuuza.
Nataka niuze katika uhalisia wake.. atakayenunua ndo atafikiria kufanya hivyo... infact sio lazima sana yanunuliwe..
 
kuna comment imenisikitisha sana ila sasa huu uzi umenifanya nicheke kwa sauti sio kwa mtanange unaoendelea humu
muuza godoro pia mwishoni kaamua kubadilika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jf raha sana
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ameniua alivosema amna haraka ya kuuza godoro tena ni burudani kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilikuwa naupita uzi huu, ila baada ya kuona umeendelea kuwika nimeingia.

Uliyetangaza kweli kabisa na manguo sakafuni hivyo, na jinsi ulivyoziweka unaona umefanya tangazo zuri. Ungepaweka vizuri, hayo magodoro nayo yatakuwa katika khali gani jamani...duh

Mjifunze kujua kuvutia wateja.

Atanunua mwenye shida haswaaaaaa ambayo hajali uchafu
 
Tangazo nililoweka ni la magodoro... wewe uliyeona nguo utakuwa unasumbuliwa na umbea..
 
Tangazo nililoweka ni la magodoro... wewe uliyeona nguo utakuwa unasumbuliwa na umbea..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bana naona leo umeamua kutuvunja mbavu
 
Back
Top Bottom