Sijasema magodoro ni ya mdogo wangu... ni yangu ila yalikuwa yanatumiwa na mdogo wangu.
Binafsi bado sijaona ubaya wa magodoro hayo ndo maana nimethubutu kuyanadi hadharani.
Nauza magodoro, kitanda, meza ya kioo na majaba ya maji ili nirudishe chumba kimoja nibaki na viwili kwa vile sasa naishi peke yangu hivyo sihitaji kuzungukwa na vitu vingi.. jiko la gesi na mtungi mkubwa nilishauza wiki mbili zilizopita.. hivyo dadangu lady Aj nisamehe kama nimekuchefua..ila naomba unitumie namba yako ya simu ili siku nyingine kabla sijaweka tangazo la biashara jf.. nikupigie tu-discuss kwanza ili nisikuchefue tena.