INAUZWA Magodoro mawili 5×6 yanauzwa..

kajikatie rufaa mwenyewe maana wenzio wanafikiri kwa kutumia kichwa wwe akili zako ziliwekwa kwenye makalio
Haya maneno yako sio mapya sana kwangu, hata wabunge walipewa maneno ya kuambiwa Wanafikiria kwa Makalio, hivyo yana hadhi yake [emoji2] [emoji2] shukrani
 
Yani hzo sifa zote unazojipa hazikukustahili heri ungekua sanamu tu za kwenye maduka ya nguo kuliko hyo pumzi kupewa mtu mpuuzi kama wwe
 
LadyAj nitumie namba yako ya simu inbox ili unishawishi nikuombee msamaha kwa wana.. la sivyo utamaliza povu mwilini kwa jinsi wana walivyo panic kwa kauli zako..
Najua umeolewa.. ila rukhsa kunipangia muda wa kupiga..
 
Hiyo ya namba haitotokea, lakini pia ya msamaha si lazima nilifanya kwa heshma na maneno yao hayanisumbui saana maana hao wote kwangu si lolote si chochote hawaninyimi usingizi
 
Hahaa..watu type yako wenye maneno kama haya ukifika kwake/kwao utacheka mpaka ufe hata hayo matandiko ya mbwa huna..
Njoo siku moja ,kuja hapa water front working days saa 10 jioni then ni Pm tutoke twende wote nyumbani, njoo hata Leo
 
Hiyo ya namba haitotokea, lakini pia ya msamaha si lazima nilifanya kwa heshma na maneno yao hayanisumbui saana maana hao wote kwangu si lolote si chochote hawaninyimi usingizi
Wana rukhsa kuendelea kuharibu.. mkausheni povu shemeji yenu mpaka aliyejitwisha zigo ajione alibugi..
 
Sijapata kuona tangazo lenye kiwango kama hili
Yaani hili tangazo ni ISO Certified.
Heshima yako mleta mada umetisha kaka[emoji23] [emoji23]
Habari yako ladyAJ
 
LadyAj nitumie namba yako ya simu inbox ili unishawishi nikuombee msamaha kwa wana.. la sivyo utamaliza povu mwilini kwa jinsi wana walivyo panic kwa kauli zako..
Najua umeolewa.. ila rukhsa kunipangia muda wa kupiga..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sijapata kuona tangazo lenye kiwango kama hili
Yaani hili tangazo ni ISO Certified.
Heshima yako mleta mada umetisha kaka[emoji23] [emoji23]
Habari yako ladyAJ
Kwetu ni Alhamdullilah, Subalkheir shemeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…