Alafu ikusaidie nn hiyo picha? Pigana na maisha ulale pazuri usipigane na umbea, mkiambiwa ukweli mnakasirika ila hilo sio godoro la kujisifu hata kidogo cha kukushauri kamuuzie fundi sofa alikatekate atengenezee vitiNgoja niwasiliane na Mange Kimambi anitumie picha yako niianike..
Ndoa na godoro Lina uhusiano gani? basi Fanya kitembelea kwangu weekend moja utayopata nafasi InshaAllahhuyu dada nahisi ndoa yake haiko poa
Kwani nilipoweka ili tangazo nilisema mafundi sofa siwataki?!.. au wao jf haiwahusu?!.. au labda nilitaja jina lak0?!..shosti pumuu..Alafu ikusaidie nn hiyo picha? Pigana na maisha ulale pazuri usipigane na umbea, mkiambiwa ukweli mnakasirika ila hilo sio godoro la kujisifu hata kidogo cha kukushauri kamuuzie fundi sofa alikatekate atengenezee viti
wewe dada umenichekesha kusema akamuuzie fundi sofa lols... Jf kiboko.Alafu ikusaidie nn hiyo picha? Pigana na maisha ulale pazuri usipigane na umbea, mkiambiwa ukweli mnakasirika ila hilo sio godoro la kujisifu hata kidogo cha kukushauri kamuuzie fundi sofa alikatekate atengenezee viti
Usilete u shosti hapa uza godoro wewe Ebo!!Kwani nilipoweka ili tangazo nilisema mafundi sofa siwataki?!.. au wao jf haiwahusu?!.. au labda nilitaja jina lak0?!..shosti pumuu..
Godoro halina haraka.. burudani kwanza..Usilete u shosti hapa uza godoro wewe Ebo!!
Acha dharau wee kima.Usilete u shosti hapa uza godoro wewe Ebo!!
Ulichoandika, hakimpendezi MUNGU wala binadamu wenzako. Muombe jamaa mwenye magodoro yake msamaha.Hivi haya nayo ni magodoroo au matandiko ya mbwa?
Acha kujipendekeza.Uza godoro huko acha kuingilia maisha ya mtu binafsi!
Umeona enhee.. eti nae mtoto wa kiume... hawa ndio wale wanaotongozaga avatar..Acha kujipendekeza.
Mbona mengi tu tunayafanya hayampendezj Mungu !! Ikiwamo kusema kinyume cha kile moyo wako waamini na bahati nzuri nimempa ushauri awapitishie mafundi sofa,sasa sijui wewe ulitaka nimwambiejeUlichoandika, hakimpendezi MUNGU wala binadamu wenzako. Muombe jamaa mwenye magodoro yake msamaha.
Tujifunze kuwapenda ,kuwaheshimu na kuwathamini wenzetu
Kachukue godoro Mimi nitakulipia mojaAcha kujipendekeza.
Uwezo wa kulalia dhahabu sina ila hali ngumu ya kulalia chaga pia sina hicho tu ndicho ninachomshukuru M/MunguAcha dharau wee kima.
Halafu watu wenye uwezo huwa hawana mashauzi ya kishamba.
Wee kama sio hausigeli sijui.
Vipi ma Mkwe ushamtimua? Ila mke mwenzio aliezaa na mmeo kakuzidi sifa za kuwa mke ila ulipata bahati ya kuolewa kama sio matumizi ya ufundi ndumbaUwezo wa kulalia dhahabu sina ila hali ngumu ya kulalia chaga pia sina hicho tu ndicho ninachomshukuru M/Mungu
Mungu yupi huyo unayemzungumzia ili hali unakebehi unaodhani ni maskini?Uwezo wa kulalia dhahabu sina ila hali ngumu ya kulalia chaga pia sina hicho tu ndicho ninachomshukuru M/Mungu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama ni hayo kwenye picha basi haupo serious kabisa mkuu na inawezekana NECTA wamekutendea haki kabisa
tatizo la kununua magodoro yaliyotumika huwa unayanunua na laana zake zoteHello.. necta kwa uzembe wamepoteza kumbukumbu za vyeti vyangu hivyo kusababisha niwekwe kwenye kundi la watu wenye vyeti feki..
Nataka kurudi kijijini kujaribu kilimo lakini nimekwama nauli kwa sababu sijapewa mshahara wa mwezi uliopita..
Hivyo imenilazimu kuuza magodoro yangu mawili ambayo bado yapo katika hali nzuri.. yote mawili kwa 150k.. ila ukitaka moja utanipa 100k.. bei ni fixed.
Serious buyers tuwasiliane kwa 0687 089980..
Location: Mkuranga centre.
View attachment 505701
Wee hauna hata mia.Kachukue godoro Mimi nitakulipia moja