Magonjwa ya akili: Tukutane humu kama una mtu wa karibu mwenye ugonjwa wa akili

Magonjwa ya akili: Tukutane humu kama una mtu wa karibu mwenye ugonjwa wa akili

So hard jamani... Kuna Mjomba wangu akianza kuugua attempt za kutaka kujiua ni nyingi sana...!!

Tatizo akitubiwa akipata nafuu anaenda kushinda kwenye kwenye baa na bucha...Ni mwendo wa pombe sana nyama kiasi...


Nawaonea huruma sana Binamu zangu.
 
So hard jamani... Kuna Mjomba wangu akianza kuugua attempt za kutaka kujiua ni nyingi sana...!!

Tatizo akitubiwa akipata nafuu anaenda kushinda kwenye kwenye baa na bucha...Ni mwendo wa pombe sana nyama kiasi...


Nawaonea huruma sana Binamu zangu.
Poleni sana! Ni ngumu sana kwa ndugu wanaomzunguka kama mgonjwa hajaikubali hali yake, kwasababu mtoto anageuka mlezi. Natumai anamuona dokta ipasavyo.
 
Mkuu mgonjwa ana miaka 62.. Akipata nafuu anahama Nyumbani akizidiwa ni balaa mnaenda kumkuta maili mia mbali kbs na Nyumbani..

dah! its so hard kwakweli, poleni sana. Kwa bahati mbaya hakuna chochote mtu anaweza kufanya kama mgonjwa hajaikubali hali yake, ila kuhakikisha asikose kumuona dokta hata akipata nafuu inaweza saidia.
 
Huyu ndie aina ya vichaa niliokuwa nawasemea
Ametukanwa wapi ? Hizo si takwimu zilizo tolewa

Ndio mimi mjinga ,sasa wewe mwerevu zaidi ya hicho kingereza mbuzi unajua nini ? Kiswahili hukijui mpaka uchanganye lugha ? Au ndio ule ubishoo wa ukiongea kingereza ili uonekane wa masaki sio ? Nenda Mlimani City utawakuta wenzio sio Jf
Ulikua na haja gani kumwambia mleta mada achukue vichaa wake?


Au kwako hili sio tusi?

Unafahamu uzito wa hayo maneno kwa mtu mwenye ndugu alie na matatizo aina hii?

Sio lazima kucomment kila sehemu.

Try to pretend that you're not stupid!
 
Ulikua na haja gani kumwambia mleta mada achukue vichaa wake?


Au kwako hili sio tusi?

Unafahamu uzito wa hayo maneno kwa mtu mwenye ndugu alie na matatizo aina hii?

Sio lazima kucomment kila sehemu.

Try to pretend that you're not stupid!

Kamusi ipi inayosema kichaa ni tusi ?

Mimi ni mjinga wala sihitaji kujionyesha vinginevyo
 
ahsante. mara nyingi mgonjwa haya akizingatia dozi anaweza kuendelea na shughuli zake kama kawaida na akaishi muda mrefu tu kwasababu sio life threatening sema tu madawa yake pia yana side effects ambazo nazo sio mbaya sana. Ilikuwaje akafariki?


Aliugua wakati wanampeleka hospitali Alifia njiani.
 
Ukisema vichaa ujue wengi wana huu ugonjwa ila wametofautiana kiwango kuna wale viwango vya kawaida, ambapo akichanganya na pombe tu mitalo ndio yanageuka makazi na wale ambao at constant temperature and pressure wao zimeluka
Bila kusahau na mkono wa waswahil wameongeza sana idadi ya hawa watu uku mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread Yenye Kutufunza Hujafa Hujaumbika
Pole Sana Kwa Wote Wenye Ndugu Jamaa Na Marafiki Wanataambika Na Hali Hii
 
Hivi ugonjwa wa akili ni msongo wa mawazo au mkono wa mtu? Na je tofauti ya hzo mbili ni nini?
 
Màana ukienda hospitalini utaambiwa ni ugonjwa was akili unasababishwa na msongo wa mawazo, ukienda makanisa ya walokole utaambiwa ni suala la kiroho
Ugonjwa wa akili inategemea na sababu zilizopelekea kupata ugonjwa huo;mfano kuna matumizi ya madawa ya kulevya; msongo wa mawazo, kurithi; matumizi ya dawa kwa mda mrefu, nk
 
Back
Top Bottom