Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Danke schönGood for you!
Poleni sana! Ni ngumu sana kwa ndugu wanaomzunguka kama mgonjwa hajaikubali hali yake, kwasababu mtoto anageuka mlezi. Natumai anamuona dokta ipasavyo.So hard jamani... Kuna Mjomba wangu akianza kuugua attempt za kutaka kujiua ni nyingi sana...!!
Tatizo akitubiwa akipata nafuu anaenda kushinda kwenye kwenye baa na bucha...Ni mwendo wa pombe sana nyama kiasi...
Nawaonea huruma sana Binamu zangu.
Mkuu mgonjwa ana miaka 62.. Akipata nafuu anahama Nyumbani akizidiwa ni balaa mnaenda kumkuta maili mia mbali kbs na Nyumbani..Poleni sana! Ni ngumu sana kwa ndugu wanaomzunguka kama mgonjwa hajaikubali hali yake, kwasababu mtoto anageuka mlezi. Natumai anamuona dokta ipasavyo.
Mkuu mgonjwa ana miaka 62.. Akipata nafuu anahama Nyumbani akizidiwa ni balaa mnaenda kumkuta maili mia mbali kbs na Nyumbani..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie mwenyewe nina mashaka na akili yangu.
Ulikua na haja gani kumwambia mleta mada achukue vichaa wake?Huyu ndie aina ya vichaa niliokuwa nawasemea
Ametukanwa wapi ? Hizo si takwimu zilizo tolewa
Ndio mimi mjinga ,sasa wewe mwerevu zaidi ya hicho kingereza mbuzi unajua nini ? Kiswahili hukijui mpaka uchanganye lugha ? Au ndio ule ubishoo wa ukiongea kingereza ili uonekane wa masaki sio ? Nenda Mlimani City utawakuta wenzio sio Jf
Ulikua na haja gani kumwambia mleta mada achukue vichaa wake?
Au kwako hili sio tusi?
Unafahamu uzito wa hayo maneno kwa mtu mwenye ndugu alie na matatizo aina hii?
Sio lazima kucomment kila sehemu.
Try to pretend that you're not stupid!
ahsante. mara nyingi mgonjwa haya akizingatia dozi anaweza kuendelea na shughuli zake kama kawaida na akaishi muda mrefu tu kwasababu sio life threatening sema tu madawa yake pia yana side effects ambazo nazo sio mbaya sana. Ilikuwaje akafariki?
Pole sana hivi huo ugonjwa hauna dawa za kupona kabisa.Mimi nina mjomba wangu anaugua kifafa ni cha muda mlefu
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Inamaana tunaochangia hoja humu ni Vichaa ama[emoji1321]
Ugonjwa wa akili inategemea na sababu zilizopelekea kupata ugonjwa huo;mfano kuna matumizi ya madawa ya kulevya; msongo wa mawazo, kurithi; matumizi ya dawa kwa mda mrefu, nkMàana ukienda hospitalini utaambiwa ni ugonjwa was akili unasababishwa na msongo wa mawazo, ukienda makanisa ya walokole utaambiwa ni suala la kiroho