Magori: Maingizo mapya ni balaa,ahofia kupokonywa Banda

Sawa kabisa Hans Pope na Magori ndo wamesajili wachezaji wa Simba walioifikisha Simba robo fainal CACL na VPL back to back misimu minne.
Nyinyi mnaosajili wachezaji bora misimu minne mmefika wapi?
 
Sawa kabisa Hans Pope na Magori ndo wamesajili wachezaji wa Simba walioifikisha Simba robo fainal CACL na VPL back to back misimu minne.
Nyinyi mnaosajili wachezaji bora misimu minne mmefika wapi?
Mkuu hiyo ni ngumu kukujibu
 
Sawa kabisa Hans Pope na Magori ndo wamesajili wachezaji wa Simba walioifikisha Simba robo fainal CACL na VPL back to back misimu minne.
Nyinyi mnaosajili wachezaji bora misimu minne mmefika wapi?
Tumefika mbali mpaka kumsajili Manara
 
Kwani nani bingwa maranyingi zaidi, tumia akili kidigo tu, huu uwezo mmeupata baada ya mwamed kuweka chenji hapo
Ili upate kujua bingwa mara nyingi au timu kubwa inakupaswa uingie library uangalie ni timu ipi imetwaa makombe mengi ya mashindano ya ndani na nje ya nchi. Ukubwa haungaliwi kwa ligi moja tu. Ukimaliza kuchimbua vizuri huko library utabaini kuwa klabu moja inaizidi nyingine makombe mengi sana. Angalia ubingwa wa mashindano yote wanayoshiriki yakiwemo ligi kuu, cecafa, tusker, mapinduzi, mtani jembe, shirikisho, FAT enzi hizo, n.k.
 
Achana makomba ya mbuzi hayo hata Asenal huwa anachukua iliyo beba albamu ni VPL
 
Hii timu ya Mwamedi inaelekea kwenye anguko kubwa sana
Jitahidi na mchana ulale wakunyeshee na maji ili uendlee kuota. Simba ni level nyingine.

GSM yy ni kupiga tu hela matokeo au kujenga Utopolo iliyo bora hana habari hiyo.

Mpk Sasa klabu bingwa mmeshatolewa bila hata kucheza mechi.

Kumbafu!
 
Sikieni huyu mende,hayo mafanikio ya kimataifa TFF wanahusika vp?
 
Kwani nani bingwa maranyingi zaidi, tumia akili kidigo tu, huu uwezo mmeupata baada ya mwamed kuweka chenji hapo
Balansi stori yako. Ukiwa na akili using'ang'anie hoja moja tu. Zipo trophies nyingi SIMBA ndiyo bingwa wa muda wote Tz. Tangu makombe ya Hedex nk
 
Wewee makolokolo shut up your mouth
 
Nonsense
 
Balansi stori yako. Ukiwa na akili using'ang'anie hoja moja tu. Zipo trophies nyingi SIMBA ndiyo bingwa wa muda wote Tz. Tangu makombe ya Hedex nk
Hayo mpaka utumie nguvu nyingi kumurlezea mtu wa 20yrs au wewe unalenga wapi?
 
Wewe umeanza kujua soka la Bongo baada ya Azam Tv! Unaijuwa friends of Simba??
 
Tarehe 25/9/2021. Siyo mbali jiandae kisaikolojia kwa kuwa utapata majibu murua ya ndoto yako.Naona uko ndotoni.
 
hamia uto mkuu. simba haiwezi kuwa na juha kama ww
Juha wewe usiyejua na kupewa au kusomewa Taarifa ya Mapato na Matumizi ya Club yako .Huna ufahamu wa kutafakari wala kuhoji mambo unaibiwa na Kanjubari na familia yake ndiyo maana mnaitwa mambumbumbu na timu linaitwa Makolokolo FC,Kanjubari FC,Mbumbumbu FC,Hindi FC,Mapaka FC,Washirikina FC,Wajinga ndiyo waliwao FC,Viboga FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…