Magori: Maingizo mapya ni balaa,ahofia kupokonywa Banda

Magori: Maingizo mapya ni balaa,ahofia kupokonywa Banda

Djuma injury yake 1 na kwa injury uharaka wake wa kupona huwezi kusema pancha kama alivyokua kapombe,kapombe ni kama puto muda wowote linabust,kitu kingine Yanga imesajili kutokana na maagizo ya kocha haijakurupuka kama nyie,aucho alikua kwenye plan ya mwl na mliposikia Yanga inamtaka mlifuata huku mkijua nafasi yake kuna hao kina mkude akawatosa,kazadi alikua ana mkataba kule moroco ila sven aliwaambia viongozi wanaweza wa kumuacha free agent,wakati tunasikilizia kazadi awe free agent mikia nao wakaanza tamaa yao,tukaamua kuwatoa kwenye reli tukajifanya tunamtaka inonga mikia kwa tamaa yao ikamvaba inonga kama ilivyotuzunguka kwa rally bwalya kipindi kile,matokeo yake sasa hivi nafasi za beki wa kati wana wawa,onyango na inonga hapo sijui nani atacheza na nani atakaa benchi,ni matumizi mabaya kusajili proffesional player wa kuja kuchoma hindi,huko mkiani anaesajili ni magori na pope na magori kishawahi kusema wao awamuachii kocha asajili
Sawa kabisa Hans Pope na Magori ndo wamesajili wachezaji wa Simba walioifikisha Simba robo fainal CACL na VPL back to back misimu minne.
Nyinyi mnaosajili wachezaji bora misimu minne mmefika wapi?
 
Sawa kabisa Hans Pope na Magori ndo wamesajili wachezaji wa Simba walioifikisha Simba robo fainal CACL na VPL back to back misimu minne.
Nyinyi mnaosajili wachezaji bora misimu minne mmefika wapi?
Mkuu hiyo ni ngumu kukujibu
 
Sawa kabisa Hans Pope na Magori ndo wamesajili wachezaji wa Simba walioifikisha Simba robo fainal CACL na VPL back to back misimu minne.
Nyinyi mnaosajili wachezaji bora misimu minne mmefika wapi?
Tumefika mbali mpaka kumsajili Manara
 
Kwani nani bingwa maranyingi zaidi, tumia akili kidigo tu, huu uwezo mmeupata baada ya mwamed kuweka chenji hapo
Ili upate kujua bingwa mara nyingi au timu kubwa inakupaswa uingie library uangalie ni timu ipi imetwaa makombe mengi ya mashindano ya ndani na nje ya nchi. Ukubwa haungaliwi kwa ligi moja tu. Ukimaliza kuchimbua vizuri huko library utabaini kuwa klabu moja inaizidi nyingine makombe mengi sana. Angalia ubingwa wa mashindano yote wanayoshiriki yakiwemo ligi kuu, cecafa, tusker, mapinduzi, mtani jembe, shirikisho, FAT enzi hizo, n.k.
 
Ili upate kujua bingwa mara nyingi au timu kubwa inakupaswa uingie library uangalie ni timu ipi imetwaa makombe mengi ya mashindano ya ndani na nje ya nchi. Ukubwa haungaliwi kwa ligi moja tu. Ukimaliza kuchimbua vizuri huko library utabaini kuwa klabu moja inaizidi nyingine makombe mengi sana. Angalia ubingwa wa mashindano yote wanayoshiriki yakiwemo ligi kuu, cecafa, tusker, mapinduzi, mtani jembe, shirikisho, FAT

Ili upate kujua bingwa mara nyingi au timu kubwa inakupaswa uingie library uangalie ni timu ipi imetwaa makombe mengi ya mashindano ya ndani na nje ya nchi. Ukubwa haungaliwi kwa ligi moja tu. Ukimaliza kuchimbua vizuri huko library utabaini kuwa klabu moja inaizidi nyingine makombe mengi sana. Angalia ubingwa wa mashindano yote wanayoshiriki yakiwemo ligi kuu, cecafa, tusker, mapinduzi, mtani jembe, shirikisho, FAT enzi hizo, n.k.
Achana makomba ya mbuzi hayo hata Asenal huwa anachukua iliyo beba albamu ni VPL
 
Hii timu ya Mwamedi inaelekea kwenye anguko kubwa sana
Jitahidi na mchana ulale wakunyeshee na maji ili uendlee kuota. Simba ni level nyingine.

GSM yy ni kupiga tu hela matokeo au kujenga Utopolo iliyo bora hana habari hiyo.

Mpk Sasa klabu bingwa mmeshatolewa bila hata kucheza mechi.

Kumbafu!
 
Magori ni chawa tu wa Mudi, hajawahi kua na uwezo Wala ushawishi katika mpira wa nchi hii.
Kwa Simba Lage alikua mtu smart na haitaji ujanja ujanja kufanikisha Mambo,awa wakina Magori, Hanspop, Try again nguvu yao ipo kwa Tff ukiwaondolea Tff hii, ni wepesi Kama karatasi.
Sikieni huyu mende,hayo mafanikio ya kimataifa TFF wanahusika vp?
 
Kwani nani bingwa maranyingi zaidi, tumia akili kidigo tu, huu uwezo mmeupata baada ya mwamed kuweka chenji hapo
Balansi stori yako. Ukiwa na akili using'ang'anie hoja moja tu. Zipo trophies nyingi SIMBA ndiyo bingwa wa muda wote Tz. Tangu makombe ya Hedex nk
 
Propaganda za kitoto kabisa,yani Utopolo anunue jezi aichane halafu Mr Over my Deadbody aje na hizo propaganda za kuwaomba wasichane.Hivi Utopolo ni lini mtakuwa na akili kichwani? Mbona kwa sasa hata akili kidogo mlizokuwa mmebakiza zote mmemkabidhi “Mr Over my Deadbody”
Wewee makolokolo shut up your mouth
 
Magori ni chawa tu wa Mudi, hajawahi kua na uwezo Wala ushawishi katika mpira wa nchi hii.
Kwa Simba Lage alikua mtu smart na haitaji ujanja ujanja kufanikisha Mambo,awa wakina Magori, Hanspop, Try again nguvu yao ipo kwa Tff ukiwaondolea Tff hii, ni wepesi Kama karatasi.
Nonsense
 
Balansi stori yako. Ukiwa na akili using'ang'anie hoja moja tu. Zipo trophies nyingi SIMBA ndiyo bingwa wa muda wote Tz. Tangu makombe ya Hedex nk
Hayo mpaka utumie nguvu nyingi kumurlezea mtu wa 20yrs au wewe unalenga wapi?
 
Magori ni chawa tu wa Mudi, hajawahi kua na uwezo Wala ushawishi katika mpira wa nchi hii.
Kwa Simba Lage alikua mtu smart na haitaji ujanja ujanja kufanikisha Mambo,awa wakina Magori, Hanspop, Try again nguvu yao ipo kwa Tff ukiwaondolea Tff hii, ni wepesi Kama karatasi.

Wewe umeanza kujua soka la Bongo baada ya Azam Tv! Unaijuwa friends of Simba??
 
Heee,hee,hee,wakati huo Simba haikua na pesa ya Mo lakini ilitisha,sasa hivi Simba ina pesa ya Mo ndo itazidi kutisha,ubingwa back 2 back mpaka itimie misimu kumi.

Unajua maana ya neno kuingizwa chaka?,ndo Simba inawafanyia Yanga,Simba inampoint mchezaji kwa matangazo ili kuwaingiza chaka Yanga,kisha Yanga wanajaa Simba haoo wanahamia kimyakimya Ghana na Mali.
Shaban Djuma mechi moja uwanjani ya pili gereji.Simba ilimpiga As Vita na Shaban Djuma ikiwemo tena mechi ya away,mechi ya Kwa Mkapa Shaban Djuma alikua majeruhi(gereji)

wachezaji wenye kariba ya Aucho kwa pale Simba wapo wengi sana,kuna Mkude,Lwanga,Nyoni.historia ya Aucho ipo ana utovu wa nidhamu uliokithiri,ilo ni zigo.

Kama mnaamini uchawi upo kwenye soka kwanini Congo na Nigeria wachawi wakubwa awajabeba kombe la Dunia?
Tarehe 25/9/2021. Siyo mbali jiandae kisaikolojia kwa kuwa utapata majibu murua ya ndoto yako.Naona uko ndotoni.
 
hamia uto mkuu. simba haiwezi kuwa na juha kama ww
Juha wewe usiyejua na kupewa au kusomewa Taarifa ya Mapato na Matumizi ya Club yako .Huna ufahamu wa kutafakari wala kuhoji mambo unaibiwa na Kanjubari na familia yake ndiyo maana mnaitwa mambumbumbu na timu linaitwa Makolokolo FC,Kanjubari FC,Mbumbumbu FC,Hindi FC,Mapaka FC,Washirikina FC,Wajinga ndiyo waliwao FC,Viboga FC
 
Back
Top Bottom