Magu, Mwanza: Rais Samia ashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania, atawazwa kuwa Chifu wa Machifu

Magu, Mwanza: Rais Samia ashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania, atawazwa kuwa Chifu wa Machifu

Huyu mama kafika mbuga ya serengeti kweli? Ama ROYAL TOUR ndio imeisha hivyo? Kwa kuhudhuria tamasha uchwara na cabinet yake..
 
Naona kama Hotuba ata shughuli za Mama kama vile watu hawavutiwi nazo!
 
Tumaini la wanyonge kwamba ipo Serikali, Aliandika Teobard Mvungi
 
Mama kama yatima tu, hana mvuto kwa wananchi..
 
ndugu hata kama una chuki na mtu lakini angalia kuna watu wananufaika na watanufaika na hii kazi mama anafanya wale wanaoongoza watalii idadi ikiongezeka watanufaika sana mmoja mmoja na taifa kwa ujumla wake kila mtu anamapungufu yake lakini kila mtu anamchango kwa taifa hiki anachokifanya kinamanufaa zaidi kuliko hasara unayoiona
Unajua gharama za kumzungusha huyu maza wiki 2?
 
Back
Top Bottom