DOKEZO Magu S/Msingi: Biashara kazini saa za kazi kwa walimu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Shule imechakaa kimazingira, kitaaluma, kiuongozi, kimahusiano, uchafu umekithiri vyooni, maji hakuna wakati bomba lipo n.k.

Yote hayo yanaendelea, licha ya kuyaweka bayana kwa Afisa Elimu Msingi (W) Magu kwenye jukwaa hilihili mnamo tarehe 17/11/2022 na hata kabla ya hapo.

Huenda Afisa Elimu Msingi (W) anakwamishwa na baadhi ya maofisa wake hapo ofisini kumchukulia hatua Mwl. Mkuu Njalla, maana ofisi yake ina maofisa wakongwe kuliko yeye na ni wala rushwa wakubwa; ambao huwa wanachukua pesa kwa waalimu na kuwapigania ili wapate ualimu mkuu.
Walimu hawajawahi pendana, hivi mbona Traffic Police hawaoneani wivu na kila mmoja kila siku anatoka 🫠😁?
 
Sipingi mtu kufanya ujasiriamali, hata kwenye maelezo yangu nimesema.
Hoja yangu ni kuwa, siyo sahihi mwalimu mwenyewe kusimama eneo la shule wakati wa kazi akauzia watoto vitu kama barafu. Angeweza kumpa mtu mwingine akauza badala yake.
Watumishi wengi tu wanafanya biashara zao kwenye maeneo yao ya kazi, lakini inategemea mazingira ya kazi na ofisi zao.
Mabango kama hayo ya kusemwa ni kiherehere, wivu, ukuda, roho mbaya n.k najua yatarushwa kwangu, lakini hoja yangu itafika kwa wahusika.
Watakuambia una wivu,majungu roho mbaya nk. ila ni hao hao wanaolaumu matokeo yakiwa mabaya.

Ila kwenye picha hapo umeharibu,walimu nao ni wazazi wanategemewa
 
Adui wa mwalimu ni mwalimu mwenyewe. Watu wanauza tembo na twiga huko huyu anauza bagia unakuja kulopoka humu. Naomba serikali itoe matumizi sahihi ya vishikwambi Kwa walimu la sivyo tutegemee shida kubwa.
 
JMT; Kazi iendelee.

Nilishaandika mara kadhaa kuhusu udhaifu wa uongozi wa Shule ya Msingi Magu; nikiomba uongozi wa Elimu Msingi (W) urekebishe hali hiyo, lakini kila uchao inakuwa kama heri ya jana.

Sasa hivi baadhi ya waalimu wanafanya biashara shuleni hapo (wao wenyewe), tena wakati wa kazi; wakirusha biashara zao kwenye mitandao ya kijamii.

Ujasiriamali sawa Ni kuongeza kipato; lakini kuufanyia eneo la kazi wakati wa kazi siyo sawa. Hayo yanafanyika Mwl. Mkuu akiwepo ofisini kwake bila kukemea mwenendo huo ili ukomeshwe.

Shule imechakaa kimazingira, kitaaluma, kiuongozi, kimahusiano, uchafu umekithiri vyooni, maji hakuna wakati bomba lipo n.k.

Yote hayo yanaendelea, licha ya kuyaweka bayana kwa Afisa Elimu Msingi (W) Magu kwenye jukwaa hilihili mnamo tarehe 17/11/2022 na hata kabla ya hapo.

Huenda Afisa Elimu Msingi (W) anakwamishwa na baadhi ya maofisa wake hapo ofisini kumchukulia hatua Mwl. Mkuu Njalla, maana ofisi yake ina maofisa wakongwe kuliko yeye na ni wala rushwa wakubwa; ambao huwa wanachukua pesa kwa waalimu na kuwapigania ili wapate ualimu mkuu.

Afisa wa aina hiyo ofisini hapo ni Bw. Nyagabona; ambaye ni Afisa Taaluma asiye hata na barua ya uteuzi kutoka TAMISEMI, lakini anayumbisha sana ofisi hiyo.

Huenda Mwl. Mkuu Ezekiel Njalla, alitoa chochote kwa Bwn. Nyagabona; hivyo DEO Msingi Magu kila anapotaka kuchukua hatua anakwamishwa.

Najua DED Magu mambo ni mengi, Idara zote yeye ndiye overseer, mambo mengine haelewi hata yanakwendaje kwenye vituo.

I wish Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI (Elimu) Mr. Msonde angepita ghafla hapo shuleni Magu akajionea hali halisi, yeye angesema na mambo yangerekebishwa.

Wahusika tafadhalini chukueni hatua kurekebisha kasoro nyingi zilizoko kituoni hapo kama hizi:
View attachment 2496697
Walimu wakichongea walimu wenzao
 
Hii kada ina anandamwa sana, wakipost kulalamika kuhusu adha za mikopo wanapopolewa kuwa wasitegemee ajira, wakianzisha shughuri za kujiajiri wanapopolewa tena. Poleni sana walimu.
 
Halafu ni wao Kwa wao, anampiga pic mwalimu mwenzie
 
JMT; Kazi iendelee.

Nilishaandika mara kadhaa kuhusu udhaifu wa uongozi wa Shule ya Msingi Magu; nikiomba uongozi wa Elimu Msingi (W) urekebishe hali hiyo, lakini kila uchao inakuwa kama heri ya jana.

Sasa hivi baadhi ya waalimu wanafanya biashara shuleni hapo (wao wenyewe), tena wakati wa kazi; wakirusha biashara zao kwenye mitandao ya kijamii.

Ujasiriamali sawa Ni kuongeza kipato; lakini kuufanyia eneo la kazi wakati wa kazi siyo sawa. Hayo yanafanyika Mwl. Mkuu akiwepo ofisini kwake bila kukemea mwenendo huo ili ukomeshwe.

Shule imechakaa kimazingira, kitaaluma, kiuongozi, kimahusiano, uchafu umekithiri vyooni, maji hakuna wakati bomba lipo n.k.

Yote hayo yanaendelea, licha ya kuyaweka bayana kwa Afisa Elimu Msingi (W) Magu kwenye jukwaa hilihili mnamo tarehe 17/11/2022 na hata kabla ya hapo.

Huenda Afisa Elimu Msingi (W) anakwamishwa na baadhi ya maofisa wake hapo ofisini kumchukulia hatua Mwl. Mkuu Njalla, maana ofisi yake ina maofisa wakongwe kuliko yeye na ni wala rushwa wakubwa; ambao huwa wanachukua pesa kwa waalimu na kuwapigania ili wapate ualimu mkuu.

Afisa wa aina hiyo ofisini hapo ni Bw. Nyagabona; ambaye ni Afisa Taaluma asiye hata na barua ya uteuzi kutoka TAMISEMI, lakini anayumbisha sana ofisi hiyo.

Huenda Mwl. Mkuu Ezekiel Njalla, alitoa chochote kwa Bwn. Nyagabona; hivyo DEO Msingi Magu kila anapotaka kuchukua hatua anakwamishwa.

Najua DED Magu mambo ni mengi, Idara zote yeye ndiye overseer, mambo mengine haelewi hata yanakwendaje kwenye vituo.

I wish Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI (Elimu) Mr. Msonde angepita ghafla hapo shuleni Magu akajionea hali halisi, yeye angesema na mambo yangerekebishwa.

Wahusika tafadhalini chukueni hatua kurekebisha kasoro nyingi zilizoko kituoni hapo kama hizi:
View attachment 2496697
Kada ya ualimu ina laana!! Imagine mleta mada ni mwalimu!! Hapo umeshiba harage unajamba huku umekamatia shikwambi lako unabeua tuu upuuzi! Kwenye uzi umejumuisha mambo yasiyoendana na heading yako ili kutema tu sumu!!

Imagine alitchukua video ya mwalimu wa kagera ni mwalimu mwenzake!!

Una laana na utakufa kifukara sana mchawi mkubwa wewe.
 
Huu ni wivu au uzalendo?
Anyway mkuu, wacha kiherehere, maisha ya walim n magum, waache watafte rizki.
Hata wewe ungekua unapata vijisenti kdg usingekua na makelele kias hiki.
Utoto yaani kupiga picha na kurecord wary nayo imekuwa fasheni tuna taifa la wapumbavu Sana kwa sasa!!
 
JMT; Kazi iendelee.

Nilishaandika mara kadhaa kuhusu udhaifu wa uongozi wa Shule ya Msingi Magu; nikiomba uongozi wa Elimu Msingi (W) urekebishe hali hiyo, lakini kila uchao inakuwa kama heri ya jana.

Sasa hivi baadhi ya waalimu wanafanya biashara shuleni hapo (wao wenyewe), tena wakati wa kazi; wakirusha biashara zao kwenye mitandao ya kijamii.

Ujasiriamali sawa Ni kuongeza kipato; lakini kuufanyia eneo la kazi wakati wa kazi siyo sawa. Hayo yanafanyika Mwl. Mkuu akiwepo ofisini kwake bila kukemea mwenendo huo ili ukomeshwe.

Shule imechakaa kimazingira, kitaaluma, kiuongozi, kimahusiano, uchafu umekithiri vyooni, maji hakuna wakati bomba lipo n.k.

Yote hayo yanaendelea, licha ya kuyaweka bayana kwa Afisa Elimu Msingi (W) Magu kwenye jukwaa hilihili mnamo tarehe 17/11/2022 na hata kabla ya hapo.

Huenda Afisa Elimu Msingi (W) anakwamishwa na baadhi ya maofisa wake hapo ofisini kumchukulia hatua Mwl. Mkuu Njalla, maana ofisi yake ina maofisa wakongwe kuliko yeye na ni wala rushwa wakubwa; ambao huwa wanachukua pesa kwa waalimu na kuwapigania ili wapate ualimu mkuu.

Afisa wa aina hiyo ofisini hapo ni Bw. Nyagabona; ambaye ni Afisa Taaluma asiye hata na barua ya uteuzi kutoka TAMISEMI, lakini anayumbisha sana ofisi hiyo.

Huenda Mwl. Mkuu Ezekiel Njalla, alitoa chochote kwa Bwn. Nyagabona; hivyo DEO Msingi Magu kila anapotaka kuchukua hatua anakwamishwa.

Najua DED Magu mambo ni mengi, Idara zote yeye ndiye overseer, mambo mengine haelewi hata yanakwendaje kwenye vituo.

I wish Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI (Elimu) Mr. Msonde angepita ghafla hapo shuleni Magu akajionea hali halisi, yeye angesema na mambo yangerekebishwa.

Wahusika tafadhalini chukueni hatua kurekebisha kasoro nyingi zilizoko kituoni hapo kama hizi:
View attachment 2496697
Ukisikia kijiba cha roho ndiyo hiki.
 
Kwa Walimu kushiriki wizi wa kura 2020 acha wapigwe na jua la dhik.
 
Back
Top Bottom