Argument yangu haipo kwenye 1.6T na hata ukisema 1.3T bado haimaanishi 900bn zililipwa madeni na 500bil mshahara.. or 400bil or whatever.
Nimekuwekea document chini inayoonyesha mapato na matumizi ya serikali kwa mwezi july 2016.
Note that:
- Tax Revenue = 1,242,417 million Shs.
- Total Expenditure = 849, 028 mil. Shs.
- Overall Balance (After grants and ammortization) = 498,611 mil. Shs
Total expenditure:
- Wages = 534,134 mil. Shs
- Interest payments = 83,451 mil. shs.
- Development 129,142 mil. shs.
- Others = 102,301 mil. shs.
Financing:
-498,611 (negative sign kuonyesha payments, yaani instead of borrowing, the government allocated that money to debt payments)
Net loans:
- Development loans = 54, 883 mil Shs.
- Ammortization = 37,809 mil. Shs.
- Net Foreign) financing = 17, 074 mil. shs.
From above explanation, utaona kuwa
Serikali imedeposit (imelipa banks na non banks),
624,959 mil shs kwa mwezi wa July.
Kwa mwanasiasa atatumia hiyo figure hapo juu na kusema kuwa tumetumia bilioni 625 mwezi July kulipa madeni. Hii inaweza kuwa sawa ila unapoingiza kuwa, tumetumia hizo hela from TRA unakosea.Hela zilizobaki zilikuwa Milioni 438,821.
Bajeti iliestimate kuwa mwezi July tungekuwa na upungufu wa 178,381 mil. shs. (tungekuwa na negative balance after checks were cleared amounting to that).
Bajeti pia iliestimate tungekopa domestically 76,737 mil. Shs.(ili tulipe 76,737 mil shs.)
Vilevile tungekopa 292,927 (Foreign development aid), ila ikakopwa 53,000mil. shs.
Badala yake, serikali imelipa 624,959. Waay ahead of the budget. Hii serikali ya Maghufuli inalipa madeni bila kuingiza madeni and thats a good thing. But it's not true kuwa 900bn za TRA zinalipa madeni a month.
Now tell me what you know, na unipe hizo data zako. Achana na wanasiasa, lete data ambazo siyo magazeti.