56. "Honourable Speaker, in recognising the importance of quality health services to the people, the Government has budgeted shillings 1.99 trillion equivalent to 9.2 percent of the total budget excluding public debt service. The areas allocated funds among others include: shillings 180.5 billion for purchase of medicines, medical equipment and reagents; shillings 71.0 billion for settlement of the outstanding Medical Stores Department debt; and improvement of health services’ infrastructure at all levels"
Hiyo ni sehemu ya hotuba ya bajeti ya 2016/17.
"Since the bulk of basic education financing comes from domestic resources, the strong political will of governments for national resource mobilization is a critical factor. Governments are encouraged to invest 4-6 per cent of GNP and 15-20 per cent of public expenditure in education, depending on the country’s demographic and economic status" - WEF, Dakar Framework for Action, 2000.
Na hii chini ni sehemu ya hotuba ya bajeti 2016/17,
Education .
55. "Honourable Speaker, a total of shillings 4.77 trillion has been budgeted for the education sector equivalent to 22.1 percent of the total budget excluding public debt service. The allocation has been made to address among others: free basic education; operational costs for schools including capitation, food, purchase of books and examinations expenses; higher education students’ loans; construction and rehabilitation of infrastructures at all levels."
Hapa chini ni sehemu ya hotuba ya bajeti, 2016/17.
"Concerns in Agriculture, Livestock and Fisheries Sector
49. Honourable Speaker, in order to address the above challenges, the Government has budgeted shillings 1.06 trillion equivalent to 4.9 percent of the total budget excluding public debt service to finance various activities in the agriculture, livestock and fisheries sector including purchase of farm implements and inputs; improve and ensure availability of reliable market; and increase the number of extension officers."
Hii pia ni sehemu ya hotuba ya bajeti 2016/17.
"52. Honourable Speaker, the Government will continue to address concerns and challenges arising from dilapidated infrastructure of railway, roads, ports and airports. In 2016/17, the Government has budgeted shillings 5.47 trillion equivalent to 25.4 percent of the total budget excluding public debt service for infrastructure projects. The allocation of funds per sector is as follows:
(i) Works - Total of shillings 2.18 trillion for construction and rehabilitation of roads that open up economic opportunities;
(ii) Transport – Total of shillings 2.49 trillion for: construction of a standard gauge railway line; acquisition of three new passenger aircrafts; acquisition and rehabilitation of passenger ships in lake Victoria and Tanganyika; improvement of port infrastructure; and rehabilitation of airports. Moreover, shillings 161.4 billion has been budgeted under Railway Fund for rehabilitation of central railway line and procurement of locomotives and wagons."
Mwaka 2000 inakadiriwa kwamba 82% ya watanzania walijishughulisha na kilimo,na mpaka 2014 ilikuwa ni 67%.
Sekta ya kilimo inaajiri watu wengi kuliko inavyotakiwa na hili siyo jambo zuri hata kidogo. Sekta hii inabidi ipunguzwe, lakini ipunguzwe kueleke manufacturing na siyo services kama ilivyo sasa.
Kwa sasa hivi, secta ya huduma ipo stagnant na manufacturing inaongrzeka ingawa siyo katika rate itakayoleta mabadiliko yanayotakiwa.
Nimekusoma sana unavyosisitiza investment kwenye kilimo na hii siyo structural adjustment itakayotuletea maendeleo faster.
We can discuss Industrialization process, kwa sababu naona maoni yako kuhusu sekta ya viwanda yapo kinyume.
What about us?
Sekta hizi pia zipo affected na tamaduni zetu za kupenda kujisomea, usafi n.k there is a considerable research suggesting that the value for money in these sectors is very low. Yaani outcome ni ndogo mno compared to rural India for example.
But still, there need to be more investment.
I am not gonna stoop to your level, ila itabidi uelewe kuwa Population below poverty line in 2000 ilikuwa 84.1% na mpaka mwaka 2011 ilifikia 67.9% according to WB data. Hii ni sawa na punguzo la umasikini kwa 20%.
Kwa kuwa umetumia MDG goals, ilitakiwa iwe 18% from 36% ($1.90 a day, 2011 PPP). mpaka 2012, ilkuwa 28.12% na hii ni roughly 22%.
Vipimo vyote hivi vimeonyesha punguzo la umasikini kwa roughly 20% instead of 50% expected. This performance is poor na sitakubishia hilo.
All in all, unapotumia vielelezo hapo ndipo inapojulikana how exaggerated your conclusions are, and you wonder why am I so obsessed with data?
Data ulizotumia sijui umezipata wapi ila, kwa sisi kujua hilo linatuwezesha kujua why are you so negative? It's really bad in Tanzania but daamn!
Inawezekana kabisa nilisoma vibaya kwani vyanzo vyangu ni kama ifuatavyo:
1.
Bajeti ya Kilimo
Katika ukurasa wa 120 (
http://www.parliament.go.tz/uploads/budgetspeeches/1462468891-Hotuba-ya-Bajeti-2016-17-1.pdf), Hotuba wa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi inasomeka hivi:
6.0 MAOMBI YA FEDHA MWAKA 2016/2017
276. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2016/2017, Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi kupitia
Fungu 43, Fungu 24 na Fungu 99 inaomba jumla ya Shilingi
275,063,518,000 kama ifuatavyo:
FUNGU 43
277. Mheshimiwa Spika, jumla ya Shilingi
210,359,133,000 zinaombwa. Kati ya fedha hizo, Shilingi
109,831,636,000 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na Shilingi
100,527,497,000 ni kwa ajili ya kutekeleza Miradi ya Maendeleo.
FUNGU 24
278. Mheshimiwa Spika, kiasi cha Shilingi
4,894,921,000 kinaombwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida.
FUNGU 99
279. Mheshimiwa Spika, jumla ya Shilingi
59,809,527,000 zinaombwa. Kati ya fedha hizo, Shilingi
43,936,312,000 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na Shilingi
15,873,215,000 ni kwa
ajili ya kutekeleza Miradi ya Maendeleo.
2.
Bajeti Afya
Katika ukurasa wa 58 (
http://www.parliament.go.tz/uploads/budgetspeeches/1463073064-Hotuba ya Bajeti_AFYA-Waziri.pdf), hotuba ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto inasomeka hivi:
164: Maombi ya Fedha kwa ajili ya kazi zilizopangwa kutekelezwa katika mwaka wa fedha 2016/2017:
“Ili kuwezesha wizara yangu kutekeleza kazi zilizopo katika mwaka 2016/17, naliomba bunge lako tukufu likubali kuidhinisha makadirio ya makusanyo ya Shilingi 166,138,358,857 kutoka katika mashirika na taasisi zilizopo chini ya wizara yangu na vyanzo vya makao makuu. Aidha naomba pia bunge lako tukufu likubali kuidhinisha makadirio ya matumizi ya wizara pamoja na taasisi zake yenye jumla ya Shilingi
845,112,920,056. Kati ya fedha hizo, shilingi 317,752,653,000.00 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na Shilingi 527,360,267,056.00 ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
3.
Bajeti Elimu
Katika ukurasa wa 95 (
http://www.parliament.go.tz/uploads...80317-HOTUBA_WEST_2016_FINAL - 23-05-2016.pdf) Hotuba ya Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na ufundi inasomeka kama ifuatavyo:
Maombi ya Fedha kwa Mwaka 2016/17:
“Mheshimishiwa Spika, ili kuwezesha utekelezaji wa malengo yaliyopangwa katika mwaka 2016/17, Wizara ya Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Ufundi inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 1,396,929,798,625 ili kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi.”
Waziri anaendelea kuchanganua fedha hizo zinaelekezwa katika nini.
All that said and done, bado hoja yangu imesimamia pale pale i.e hatufanikiwi kuendeleza sekta muhimu za Kilimo, Afya na Elimu kwa sababu Serikali bado haitekelezi malengo yaliyowekwa na AU miaka miaka mingi iliyopita kule Abuja, Maputo na Dakar. Kwa mfano:
Afya:
Kama nilivyojadili, Serikali ilitakiwa kufanya allocation ya angalau 15% ya bajeti yake kwa ajili ya sekta ya Afya tu. Utekelezaji katika hili umeendelea kusua sua licha ya FYDP II kutaja 15% kama lengo, in 2020. The government needs to rethink this and reinstate this commitment na kuwekeza zaidi katika sekta hii muhimu ya Afya. Kwa kufanya hivyo, kutatokea ‘multiplier effect’ katika sekta nyinginezo na uchumi kwa ujumla (rejea mjadala wa awali kuhusu umuhimu wa Human Capital/Mtaji Watu katika uchumi)
Kilimo:
Umekuja na takwimu zako katika hili. Mimi zangu chanzo chake ni (FYDP II 2016/17 – 2020/21), ambapo inaainishwa kwamba Sekta ya Kilimo inaajiri takribani 70% of the population, inachangia 28% of GDP, 30% ya exports and 65% ya inputs to the industrial sector. Maelezo yako ni kama vile yanaashiria kwamba Kilimo chetu kinasonga mbele. Is that so? Hii sio kweli. Kwa mfano, kwa miaka zaidi ya 20 sasa, kwa wastani, agriculture growth haijawahi kuvuka 4%.
Nikuulize:
*Kinachofanya mshangilie kwa vigele gele, nderemo na vifijo kasi ya kukua kwa uchumi (7%) ni nini hasa iwapo sekta ya Kilimo ambayo inaajiri 70% of the population, inachangia almost one third of GDP, inachangia almost one third of exports (hence foreign earnings), inachangia almost two thirds ya inputs katika industrial sector, kasi yake ya kukua kwa uchumi katika kipindi chote cha nderemo zenu imekuwa ni chini ya 4%?
*Kumbuka kwamba malengo ya MKUKUTA II and FYDP I yalikuwa ni growth of 6% kufikia 2015. Utasemaje kwamba tunapiga hatua wakati hata malengo yenyewe ya Serikali hayajawahi fikiwa?
Kilio kikubwa miongoni mwa wadau wa sekta ya Kilimo nchini ni ufinyu wa bajeti. Budget allocation per Maputo Declaration ni at least 10%. Hatutekelezi hilo, na ndio maana many of the targets set are not realized. Fanya utafiti kuhusu Malawi – jinsi gani walinufaika kwa kutekeleza Azimio hili la Maputo.
Elimu:
Kumekuwepo na changamoto nyingi na za muda mrefu zinazotokana na the way allocation ya fedha inavyofanyika katika sekta ya elimu. Kwa mfano kwa kipindi kirefu kiwango cha fedha kinachotengwa kwa ajili ya matumizi ya maendeleo kimekuwa hakiridhishi ambapo karibia 90% ya kila bajeti zimekuwa zikiishia kwenye matumizi ya kawaida badala ya matumizi ya maendeleo kisekta. Matokeo yake ni kwamba sekta hii muhimu kwa uchumi wa nchi imeendelea kudorora.
Lakini bajeti ya mwaka huu (2016/17) ina sura tofauti katika hili, kwani kiasi kikubwa zaidi cha fedha kimeelekezwa katika miradi ya maendeleo kuliko matumizi ya kawaida. Iwapo utaratibu huu utaendelea (angalau 40% of the budget kwenda kwenye miradi ya maendeleo), tutaweza kupiga hatua.
Angalizo:
Lakini katika hili la bajeti ya maendeleo, ipo changamoto nyingine kubwa. Fedha kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu zimekuwa zikijumuishwa katika fungu la miradi ya maendeleo na kutoa picha kwamba kiasi cha fedha kwa ajili miradi ya maendeleo (elimu), wakati uhalisia haupo hivyo. Kwa mfano kwa mwaka wa fedha wa 2015/2016, karibia nusu ya fedha zote zilizotengwa kwa ajili ya miradi ya Maendeleo zilikuwa ni kwa ajili ya mikopo Elimu ya juu. Kwa maana hii, the actual budget for development activities in the education sector was very low. Kuna haja ya kuziondoa fedha hizi za Mikopo ya Elimu ya juu kwenye fungu la maendeleo na kuziamisha kwenye fungu la matumizi ya kawaida. By doing so, tutaweza kuona na kujua ukweli kuhusu kiasi cha fedha kinachotengwa kila mwaka kwa ajili ya matumizi ya maendeleo ya sekta ya Elimu.
Umejadili mkakati wa Elimu bure. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na HakiElimu, ili kutekeleza mkakati huu, serikali inapaswa kutenga kiasi kisichopungua Shilingi bilioni 852 kwa ajili ya kutekeleza sera ya Elimu bure peke yake, nje ya mtumizi mengine. Je, Serikali imejipanga kutekeleza hili kwa kipindi cha miaka mitano (2015-2020)?
Lipo pia suala la Serikali kushindwa kutekeleza malengo ya Dakar juu kiwango cha bajeti kuelekezwa sekta ya Elimu.