macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Thread imejaa ukweli mtupu. Hii nchi kuna watu wanadhani (kama kina Zitto) kuwa rais ni lazima uwe na ma-complication ya kusafiri na kuhudhuria mikutano mikubwa mikubwa. Haya yanatusaidiaje kama nchi? Hatuwataki watu wa aina hii na wafie mbali!
Najua Unaelewa Vizuri unachokitetea.Hujui kuwa Rais ni Kiongozi Mkuu wa Serikali, Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu?
Kumbuka watendaji wa kata ni sehemu ya watendaji wa serikali ambao kiongozi wao mkuu ni Rais wa Tanzania.
Hakuna Uchaguzi Mkuu mwepesi kama ule wa 2020!
Hofu yangu ni kujikuta bungeni kuna wabunge wa upinzani wasiozidi 10 baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Kuna hoja gani hapo? Hoja itoke kwa MMJ, never nowadays!
Hakuna ninachokitetea kwa sababu siwezi kutetea suala ambalo halipo!Najua Unaelewa Vizuri unachokitetea.
Kwanini kwanini Watendaji na kuwepo kuwafukuza waandishi? Siri ipi haswaaa ilikuwa inafichwa? Muopeni Mungu, unafiki si Mzuri kabisa kwa mwanaume haswa!
Yote sawa, unadhani huyu ana haiba ya kwenda kusimama mbele za watu kuzungumza.Thread imejaa ukweli mtupu. Hii nchi kuna watu wanadhani (kama kina Zitto) kuwa rais ni lazima uwe na ma-complication ya kusafiri na kuhudhuria mikutano mikubwa mikubwa. Haya yanatusaidiaje kama nchi? Hatuwataki watu wa aina hii na wafie mbali!
Maneno ''uchaguzi huru na haki'' ni relative!
Kwa hiyo kujua kiingereza kwako ndiyo uongozi bora?Yote sawa, unadhani huyu ana haiba ya kwenda kusimama mbele za watu kuzungumza.
Ngoja nikupe history:
1. Nyerere alikuwa msomi wa kweli.. alijua kiingereza.. alisafiri maana alijiamini kwa kuzungumza na hakukishabikia kiswahili ki hivyo.
2. Mkapa msomi, alijua kiingerez vema. Alisafiri . hakushabikia kiswahili hivyo...
3. Mwinyi hakuwa msomi, hakujua kiingereza, hakusafiri.. alishabikia kiswahili lugha anayoiweza.
4. JK alikuwa msomi, alijua kiingereza, alisafiri. Hakushabikia kiswahili
5. Jiwe "msomi" hajui kiingereza, hasafiri.. anakishabkia kiswahili anachokijua!
Huwezi kuelewa, nani kazungumzia uongozi bora!Kwa hiyo kujua kiingereza kwako ndiyo uongozi bora?
Umepotea njia kaka, sio uzi wa wapumbavu na malofa huu, uzi na ujumbe ni mahsusi kwetu sisi washamba.Nakwamnia takataka zaLumumba ni taka kweli. Kama anaoendwa, why rig the mitaa elections
Sent using Jamii Forums mobile app