Uchaguzi 2020 Magufuli 2020: Jogoo la Shamba linapowika mjini, wa mjini hujaribu kujitutumua!

Mleta mada alimaanisha Magufuli ni JONGOO la shamba lililofika mjini.
 
msemajiuongo ndilo jina lako sahihi. hilo jingine ni misnomer. yeye ni amiri jeshi. hakuna maamiri jeshi wengine ili awe mkuu wao!
tamisemi kuwa ofisi ya rais iliishaonekana si busara, ikatolewa. kuirudisha ndio upumbavu wenyewe hasa. kiasi hata vyanzo vya mapato vya tamisemi vimeporwa na serikali kuu.
msemajiuongo utajitoa ufahamu hadi lini? nchi ni ya rais au ya wana wa nchi? cheo kinapita hata aliyekikalia pia lakini wananchi wabaki kuwa wenye nchi. walimchagua awaongoze na kuwasemea ipasapo. sasa ishakuwa nongwa. nchi ni yake na wenye nchi amewafanya watwana. atakalo anafanya tena atakavyo. acha kabisa upopoma. afanyaye hivyo ni mshamba na limbukeni. wapambe wa mshamba ndio usiseme kwa ushamba kupindukia!
 
Hapana asipitilize miaka 10 kama mwenyewe anavyo sema, muhimu ni kuwa na succession plan madhubuti. Ndani ya CCM kuna viongozi wengi tu wazuri sana, michakato ikifanywa kisawasawa tutapata jembe lingine madhubuti kabisa kusukuma gurudumu la maendeleo kwa kasi zaidi. Huko upande mwingine kumeanza fukuta moto si hata pakuwazia. Makamo mwenyekiti awe yule self exiled nani sijui...mgombea mojawapo uenyekiti anaitwa mamluki baada ya kusema kuna usiri matumizi ya ruzuku yaani basi tu !

Baadhi ya washirika wao kama kabwela mzito na jiwe la kuvunjia milango usiku wamewageuka na kuanza kuwaandama kwa tuhuma na kejeli kedekede jamani shiiida! 😎
 
Tuwe wakweli, mashirika yote ya umma yalikufa wakati wa Marehemu Mzee Nyerere. Yalikuwa yanaendeshwa kwa ruzuku mpaka nchi ikafilisika ikiwa hohehahe.

Mwinyi karithi nchi hazina hakuna kitu. Ushahidi huu hapa...

 
Tuwe wakweli, mashirika yote ya umma yalikufa wakati wa Marehemu Mzee Nyerere. Yalikuwa yanaendeshwa kwa ruzuku mpaka nchi ikafilisika ikiwa hohehahe.

Mwinyi karithi nchi hazina hakuna kitu. Ushahidi huu hapa...

 
Mimi nazipinga nyingi tuu
Kufa kwa mashirika uliyoyata ccm si ndio likuwa madarakani
Mnanunua ndege ili iweje
Njia inabisha hodi
Hospitali hazina dawa
Miundo mbinu mbovu kuliko maelezo
Umeiona mvua ya leo ilivyofanya hapa mnapaita darisalama
Hivi kununua ndege kila bashite kujilimbikizia mali kuchezea pesa za walipa kodi ndio mnaona sawa
Nyie haya
Ndio mshamba tena sana tuuuuu
 
Jogoo ameshawika kokolilo Koko...na Christian Bella
Nasikia mnataka jogooo liendelee kuwapanda mpaka 2035, huku wengine mnatakaa liendelee kuwapanda mpaka litakapokufa lenyewe. Hongereni kwa kunogewa . Wacha jogoo liendelee kuwapanda.
 
Hapana mi naona hiyo katiba atawale milele hata akifa mwili ukaushe tumuweke makumbusho endelee kutawala milele...

Unaonaje mzee roho yako imeridhika?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukifikiri kama watu wazima, kwa mpinzani kushinda uchaguzi inabidi nguvu za ziada zitume, tena zinazotishia amani. Hivi inawezekanaje kuhesabu kura za ubunge katika maeneo ambayo wapinzani wanashinda matokeo yachukue siku mbili hadi tatu kutangazwa tena ndani ya Jiji? Refer uchaguzi wa Kawe, Kinondoni na Ubungo 2015.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani huoni kilichobadilika? Mwenye macho haambiwi tazama!

Vv

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wa ccm mnaupuuzi mwingi sana,naona mmeamua kuja na Ids nyingi nyingi kutoka Lumumba ili ionekane kuwa Hugo mtu wenu anakubalika,Magufuli hata akishindana na kuku kwenye box la kura bado kuku atamshinda tu tana kwa kura nyingi hata yeye anajua kabisa kuwa hakushinda uchaguzi wa 2015 na hata shinda uchaguzi wa 2020 ndyo maana anajitahid kuua watu wanaomkosoa na kuminya demokrasia pamoja na kuharibu uchumi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama hapendwi mbna kila anakokwenda kazi hazifanyiki watu mbio kwenda kumshangilia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…