Uchaguzi 2020 Magufuli 2020: Jogoo la Shamba linapowika mjini, wa mjini hujaribu kujitutumua!

Mleta mada alimaanisha Magufuli ni JONGOO la shamba lililofika mjini.
 
Hujui kuwa Rais ni Kiongozi Mkuu wa Serikali, Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu?

Kumbuka watendaji wa kata ni sehemu ya watendaji wa serikali ambao kiongozi wao mkuu ni Rais wa Tanzania.

Unamchagulia Rais wa nchi muda/wakati wa kukutana na watendaji wa serikali yake?
msemajiuongo ndilo jina lako sahihi. hilo jingine ni misnomer. yeye ni amiri jeshi. hakuna maamiri jeshi wengine ili awe mkuu wao!
tamisemi kuwa ofisi ya rais iliishaonekana si busara, ikatolewa. kuirudisha ndio upumbavu wenyewe hasa. kiasi hata vyanzo vya mapato vya tamisemi vimeporwa na serikali kuu.
msemajiuongo utajitoa ufahamu hadi lini? nchi ni ya rais au ya wana wa nchi? cheo kinapita hata aliyekikalia pia lakini wananchi wabaki kuwa wenye nchi. walimchagua awaongoze na kuwasemea ipasapo. sasa ishakuwa nongwa. nchi ni yake na wenye nchi amewafanya watwana. atakalo anafanya tena atakavyo. acha kabisa upopoma. afanyaye hivyo ni mshamba na limbukeni. wapambe wa mshamba ndio usiseme kwa ushamba kupindukia!
 
Magufuri ameifanya nchi hii iwe imara tena na izidi kuwa bora kula siku ,Tunapanga kushiniza tubadili katiba awe raias wa maisha mpaka Mungu amchukue ndio tuweke mwingine na katiba tuirejeshe kwenye miaka kumi tena

State agent

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana asipitilize miaka 10 kama mwenyewe anavyo sema, muhimu ni kuwa na succession plan madhubuti. Ndani ya CCM kuna viongozi wengi tu wazuri sana, michakato ikifanywa kisawasawa tutapata jembe lingine madhubuti kabisa kusukuma gurudumu la maendeleo kwa kasi zaidi. Huko upande mwingine kumeanza fukuta moto si hata pakuwazia. Makamo mwenyekiti awe yule self exiled nani sijui...mgombea mojawapo uenyekiti anaitwa mamluki baada ya kusema kuna usiri matumizi ya ruzuku yaani basi tu !

Baadhi ya washirika wao kama kabwela mzito na jiwe la kuvunjia milango usiku wamewageuka na kuanza kuwaandama kwa tuhuma na kejeli kedekede jamani shiiida! 😎
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Wapo ndugu zetu kati yetu ambao wanapomwangilia Magufuli na utendaji wa serikali yake wanamuona ni mshamba aliyeula. Kwa kejeli zisizo kikomo na dharau zilizopitiliza wanaamini kuwa Magufuli hajachakaruka wala kujanjaruka kama wao wa “mjini”. Naomba kupendekeza kwako msomaji kuwa Jogoo wa Shamba anapowika mjini ujue wa mjini walishapoteza makeke yao. Kutawaliwa na kuongozwa na jogoo wa shamba manake jogoo huko kweli anawika! Aliyesema jogoo wa shamba hawiki mjini hajakutana na Magufuli bado.

Kwa muda mrefu Taifa letu limekuwa likiongozwa na kuendeshwa na watu ambao tuliaminishwa kuwa ni “wasomi” na “vijana wa mjini”. Walijua mitkasi, na madili yote ya mjini. Walijua nani wakuzungumza naye na ufanye nini ili upate nini. Walikuwa ni watu wa “madili madili” kwa vile wao ni wa mjini. Na katika makeke yao walijikuta wanatulisha maneno matamu ya ahadi zisizotimilika miaka nenda na miaka rudi. Hawa vijogoo wa enzi na zama hizo walinguruma mjini, hawakuulizwa, hawakubishiwa, walipoambiwa hapana walinuna, walipokaripiwa walijikunyata na kutaka wabembelezwe. Vijogoo hawa wa mjini walisumbua sana.

Miradi mingi ilikufa chini ya hawa “wa mjini”. Nani amesahau kufa kwa TRC, ATCL, UDA, na kuvurugika kwa makampuni mengi ya umma. Tuliambiwa kuwa sisi hatuwezi na hatuna uwezo wa kufanya lolote kubwa. Katika “kokolikoo zao” hawa walituambia kuwa ili tuendelee tunahitaji kubinafsisha kila chetu na kusubiri wajomba zetu toka majuu waje kutusaidia. Walituambia kuwa namna pekee ya kufanikiwa kama taifa ni kusubiri “uwezekaji kutoka nje”. Ndugu zangu, maisha na wa mjini hawa yalikuwa rahisi kwa sababu fedha zilikuwepo bila kuzitolea jasho, kila mjanja aliweza kupiga kama ana akili mbovu na hata walipokamatana walikamatana huku wanakonyezana!

Ndugu zangu, hawa wasomi wetu, waliojanjaruka waliliendesha taifa kama mifuko yao. Waliweza kupongezana na kupeana “hi” kama “elite” fulani. Sasa leo ametokea “mshamba” ambaye anawaendesha kama hawapo, wanaona huyu kweli “mshamba”. Wanasema hana “sophistication” za watu walioishi na kusoma majuu. Lugha ya Malkia haimudu na Kiswahili chake kimejaa lafudhi/lahaja nzito ya Kisukuma. Wanambeza, wanamdharau, wanataa watu wambeze na kumdharau. Kwa sababu hayuko kama wao. Wao wanaojiona ni wabora kuliko wengine.

Ndugu zangu, mambo ambayo Magufuli ameyasababisha – na nimeyaanisha haya mahali pengine – ni kweli kuwa hatuhitaji “waliojanjaruka” na “wa mjini” kutuonesha wapi tulikuwa tumekosea. Leo Watanzania wanajua kuwa nchi inaweza kwenda, kujijenga na kujiletea heshima bila hata kiongozi wao kila mwezi kwenda nje kuonesha sura yake. Yaani, huyu mshamba hakwenda kwa wakubwa kujitambulisha lakini nchi inakwenda vizuri na salama kabisa.

Ndugu zangu, nimewahi kujenga hoja huko nyuma kuwa mtu anaweza kumpinga Magufuli au sera za Magufuli; lakini ni makosa ya kihoja kujaribu kumshambulia mtu (ad hominem). Watanzania siyo wajinga au siyo kwamba hawaoni. Wanaona kinachofanyika na wanaona kile ambacho Magufuli anakifanya kwa ajili yao. Watu wanauona huo “ushamba” wa serikali ya awamu ya tano. Hawa “washamba” wanapofurahia yanayoendelea basi tujue kuwa jogoo wa shamba kweli anawika mjini.

Ndugu zetu wanapojitutumua kuonekana na wao wana sauti za kuwika wajue tu kuwa kuna vijogoo na majogoo; lakini sehemu nyingine yupo jogoo mmoja. Huyo akiwika wengi wote wanabakia kimya au wanawika kichini chini.

Salama kutoka kwa Mshamba Mwanakijiji kwenda kwa Washamba wengine…

Niandikie: mwanakijiji@jamiiforums.com
Tuwe wakweli, mashirika yote ya umma yalikufa wakati wa Marehemu Mzee Nyerere. Yalikuwa yanaendeshwa kwa ruzuku mpaka nchi ikafilisika ikiwa hohehahe.

Mwinyi karithi nchi hazina hakuna kitu. Ushahidi huu hapa...

Mimi nazipinga nyingi tuu
Kufa kwa mashirika uliyoyata ccm si ndio likuwa madarakani
Mnanunua ndege ili iweje
Njia inabisha hodi
Hospitali hazina dawa
Miundo mbinu mbovu kuliko maelezo
Umeiona mvua ya leo ilivyofanya hapa mnapaita darisalama
Hivi kununua ndege kila bashite kujilimbikizia mali kuchezea pesa za walipa kodi ndio mnaona sawa
Nyie haya
Ndio mshamba tena sana tuuuuu
 
Jogoo ameshawika kokolilo Koko...na Christian Bella
Nasikia mnataka jogooo liendelee kuwapanda mpaka 2035, huku wengine mnatakaa liendelee kuwapanda mpaka litakapokufa lenyewe. Hongereni kwa kunogewa . Wacha jogoo liendelee kuwapanda.
 
Hapana mi naona hiyo katiba atawale milele hata akifa mwili ukaushe tumuweke makumbusho endelee kutawala milele...

Unaonaje mzee roho yako imeridhika?
Magufuri ameifanya nchi hii iwe imara tena na izidi kuwa bora kula siku ,Tunapanga kushiniza tubadili katiba awe raias wa maisha mpaka Mungu amchukue ndio tuweke mwingine na katiba tuirejeshe kwenye miaka kumi tena

State agent

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno ''uchaguzi huru na haki'' ni relative!

Kwa Tanzania, yoyote anayeshindwa katika Uchaguzi hudai uchaguzi haukuwa huru na haki!

Nakumbuka hata CCM waliposhindwa katika Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki mwaka 2012 walidai uchaguzi haukuwa huru na haki!
Tukifikiri kama watu wazima, kwa mpinzani kushinda uchaguzi inabidi nguvu za ziada zitume, tena zinazotishia amani. Hivi inawezekanaje kuhesabu kura za ubunge katika maeneo ambayo wapinzani wanashinda matokeo yachukue siku mbili hadi tatu kutangazwa tena ndani ya Jiji? Refer uchaguzi wa Kawe, Kinondoni na Ubungo 2015.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demokrasia haitolewi kama zawadi na haiombwi. Kama unaamini hakuna demokrasia unatakiwa uidai kwa mbinde au kwa upinde. Jifunze sehemu nyingine duniani wamefanyaje. Mbona wakati wa JK watu walikuwa wanaidai demokrasia walipoona inaminywa..?Nini kimebadilika sasa?
Yaani huoni kilichobadilika? Mwenye macho haambiwi tazama!

Vv

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wa ccm mnaupuuzi mwingi sana,naona mmeamua kuja na Ids nyingi nyingi kutoka Lumumba ili ionekane kuwa Hugo mtu wenu anakubalika,Magufuli hata akishindana na kuku kwenye box la kura bado kuku atamshinda tu tana kwa kura nyingi hata yeye anajua kabisa kuwa hakushinda uchaguzi wa 2015 na hata shinda uchaguzi wa 2020 ndyo maana anajitahid kuua watu wanaomkosoa na kuminya demokrasia pamoja na kuharibu uchumi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama kweli anajiamini kwa anayotenda na anajua kuwa Anapendwa saana na Raia, kuna haja gani ya kutumia Nguvu na Kuminya Uchaguzi kama alivyofanya kwenye marudio na Serikali za Mitaa pia?

Aachane na Majeshi kujihusisha na siasa na akubali kuwe japo na Tume huru ya Uchaguzi, Aminini wana Lumumba, Jiwe Wsnanchi hawamtaki, wanaona anafanya madudu na hali zao ngumu saana. Yeye mwenyewe anajua fika hapendwi na takribani robo tatu ya Watanzania.
Sasa kama hapendwi mbna kila anakokwenda kazi hazifanyiki watu mbio kwenda kumshangilia..
 
Back
Top Bottom