Michosho
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 662
- 649
Mafisadi walichukia na hata sasa wanachukia.
Ila ukweli utabaki ukweli.
Cha kufanya wao wafanye zaidi ya JPM ndipo wataweza kufuta legacy yake,
Lakini kutumia gharama kubwa kumponda kazi zake ni kupoteza muda tu.
kupitia mitandao na magazeti,pia kususia misa ya kumwombea Hadi familia ndyo inaandaa...misa.
JPM atakumbukwa katika myoyo ya watanzania wazalendo